Tuwasaidie wanawake wanaotembeza matunda na watoto mgongoni

Tuwasaidie wanawake wanaotembeza matunda na watoto mgongoni

Huwez kuzimaliza changamoto za Mabao ya watu. Hayo yote ni matokeo ya kupuuza Kondom labda huo ndo msaada unaweza wapa. Wagawie kila uwaonapo.
 
Yah na unakuta binti mkali tu mzuri cjui wanakoseaga wap
Ukikosa akili hakuna kitu kinacho weza kukufaa hapa duniani ,huo uzuri angeutumia kutafuta mwanaume sahihi katika maisha yake huo uzuri wake ndo ungemfaa lakini badala yake alitumia uzuri wake kuwateka waume za watu na vijana wa hovyo.
 
Niliacha kusaidia watu wa namna hiyo toka mwaka 2005...yaani hata nikiona mmama kabeba mtoto halafu anaomba msaada siamini kabisa naona anatafuta huruma kupitia mtoto
Aliingia Mama mmoja ofisini huku akilia akiwa na mtoto mgongoni.Kwa kuwa nilikuwa incharge alielekezwa kwangu moja kwa moja ......akaelezea matatizo yake haswa akilalamika kutelekezwa hivyo anachohitaji ni kutudi kwao kigoma...
Nikaona isiwe taabu nikamuagiza dereva aende nae kwake akabebe kilicho chake ili siku ya pili tumpeleke Ubungo akapande basi
Hahaaa tulipigwa tukio sina hamu....
 
Back
Top Bottom