Tuwasaidie wanawake wanaotembeza matunda na watoto mgongoni

Tuwasaidie wanawake wanaotembeza matunda na watoto mgongoni

Mm mdogo wangu nilimkalisha chini kumchana live, mpaka na chozi linanitoka namshauri hapo ulipoingia umejichanganya utanipa majukumu ya kulea wajomba tu lakini wapi hakunielewa. Ila sasahivi ananitafuta Kwa tochi hata nimsaidie lakini abadani haitotokea kama razi niipate tu kama ipo
 
Ni huruma sana hasa vitoto vidogo vipo mgongoni siku nzima, hatari Kwa afya na usalama wao
Usipovionea huruma basi unakuwa na roho ngumu sana, kitoto kichanga kishapigishwa vumbi la barabarani sio siri ile picha ya yule mama hainitoki akilini
 
Kuna mmoja nilishamsaidia huko dodoma kipindi fulani jioni yake nikamkuta pale chako ni chako yupo na mtungu wa balimi.
Wengine ni vichwa ngumu kweli, kuna mmoja alikuwa anawajibu kaka zake hivi, nanukuu, "wanitie mimi mauno mkate nyie" wake zenu hawawatoshi? ......kilichompata ni kuzalishwa watoto 3 chapchap kila mtoto na baba yake mimba 2 za mwisho hakuwa anajua hata wahusika mpk alipojifungua akaona muelekeo wa sura ndipo alijua nani baba mtoto, maisha yalimchapa sawasawa, alirudi anatambaa kuomba msamaha, lkn tayari kashaharibu
 
Kila mtu abebe matatizo yake hakuna muda wa kushughulikia mambo ambayo hayakuhusu...
 
Wengine ni vichwa ngumu kweli, kuna mmoja alikuwa anawajibu kaka zake hivi, nanukuu, "wanitie mimi mauno mkate nyie" wake zenu hawawatoshi? ......kilichompata ni kuzalishwa watoto 3 chapchap kila mtoto na baba yake mimba 2 za mwisho hakuwa anajua hata wahusika mpk alipojifungua akaona muelekeo wa sura ndipo alijua nani baba mtoto, maisha yalimchapa sawasawa, alirudi anatambaa kuomba msamaha, lkn tayari kashaharibu
"Eti wanitie mimi mauno mkate nyie"😁😁😁 huu mfano unafanana na wa dada yangu picha inaanza kwanza aligoma kwenda chuo akakimbilia kuolewa na Sharobaro wake now imebidi tuwatunzee tu wote dada yetu asije kuteseka 😅😅
 
Mgodini huwa wapo wengi sana wa kuuza matunda akiwa kabeba mtoto mgongoni

TUNAWACHANGIA SANA BIASHARA ZAO
 
Japokuwa umetoa wazo zuri Ila Kama utapata wasaa mzuri jaribu kukaa na MTU wa hivyo hata dk 30 tu.

Kuna mambo utajifunza Sana .

Wewe utaona shida yake ni hela Ila kuna shida zaidi ya hela

Hivyo endelea kuwaungisha Ila usiishie hapo siku moja kaa na hao wanawake uongee nao .

Kama utafanikiwa kubadilisha mindset zao na kuwafanya waanze kufikiri kitofauti utakuwa umewasaidia Sana .
 
Kama kuna mmoja nimemuona juzi kati hapo barabara ya bibi titi, mtoto mchanga kabisa hana hata wiki mbili ila mama mtu kashaingia barabarani anauza ndizi mbivu niliingiwa imani sana niliwaza vitu vingi mno
Nakerekwa sana na watu maskini wanaozaa watoto bila kuwa na uwezo wa kuja kuwahudumia.

Wanaleta viumbe duniani waje wateseke bila sababu yeyote.

Ingekuwa inawezekana, Watu maskini wasizae kabisa.

Maana hawa ndio wanaongeza idadi ya maskini wengine duniani na gharama za serikali kuhudumia maskini wapya kila siku.
 
Mm mdogo wangu nilimkalisha chini kumchana live, mpaka na chozi linanitoka namshauri hapo ulipoingia umejichanganya utanipa majukumu ya kulea wajomba tu lakini wapi hakunielewa. Ila sasahivi ananitafuta Kwa tochi hata nimsaidie lakini abadani haitotokea kama razi niipate tu kama ipo
Msaidie mkuu -mfano hao watoto unadhani wamekosea wapi

Kama umebarikiwa uwezo usiache kufanyika baraka kwa watu wengine.
 
Nakutana na kundi kubwa la wanawake wakiwa wamebeba watoto wadogo wakitembeza matunda mazingira ya jua Kali sana nawaonea huruma ukikuta dada anateseka juani na mtoto fanya kama unatoa sadaka tu kwa kununua matunda yake utabarikiwa sana
Wao m ona wakitukuta tunasukuma mkokoteni kifua wazi jasho hadi kwenye mbupuz hawatupi sadaka?
 
Nakerekwa sana na watu maskini wanaozaa watoto bila kuwa na uwezo wa kuja kuwahudumia.

Wanaleta viumbe duniani waje wateseke bila sababu yeyote.

Ingekuwa inawezekana, Watu maskini wasizae kabisa.

Maana hawa ndio wanaongeza idadi ya maskini wengine duniani na gharama za serikali kuhudumia maskini wapya kila siku.

Mkuu umeongea kwa hasira Sana na uchungu Ila furaha ya masikini ni watoto .

Muhimu Kama hivi wazae tu watoto wachache ambao watawamudu hii itapendeza Ila sio kwamba wasizae kabisa.
 
Yaani wee jamaa mbona una roho mbaya sana.
Sie maskini hela hatuna na furaha ya kugegeda nayo hamtaki tuipate🥺🥺🥺🥺
 
Mkuu umeongea kwa hasira Sana na uchungu Ila furaha ya masikini ni watoto .

Muhimu Kama hivi wazae tu watoto wachache ambao watawamudu hii itapendeza Ila sio kwamba wasizae kabisa.
Wee ndio great thinker....burudani pekee tunayomudu sie maskini ni hiyo ya kugegedana. Sasa kwa nini tusizaliane
 
Shida wanaingia kwenye mapenzi mapema ukiwaambia dunia taratibu hawaelewi ni mdada wa kazi namwambia kila siku ana miaka 19 hasikii mwenyewe anafanya Siri hajui mtaani mm ni napata taarifa zake zote. Jamaa mmoja anafuga rasta hata haeleweki anamzuzua kweli.
 
Nakutana na kundi kubwa la wanawake wakiwa wamebeba watoto wadogo wakitembeza matunda mazingira ya jua Kali sana nawaonea huruma ukikuta dada anateseka juani na mtoto fanya kama unatoa sadaka tu kwa kununua matunda yake utabarikiwa sana
Wakuonewa huruma ni wagonjwa tu wale wasiojiweza.
Sisi wengine TUPAMBANE NA HALI ZETU.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Nakutana na kundi kubwa la wanawake wakiwa wamebeba watoto wadogo wakitembeza matunda mazingira ya jua Kali sana nawaonea huruma ukikuta dada anateseka juani na mtoto fanya kama unatoa sadaka tu kwa kununua matunda yake utabarikiwa sana
Kuna kipindi nilikuwa nawaonea sana huruma, pamoja na wale omba omba.

Ila kuna miongoni mwao wanafanya hizi huruma tusiwe nazo. Mfano wale omba omba wanaotumika mtu anawashusha na gari wanakusanya maokoto jioni anawabeba wanampelekea.

Sasa scenario ya mwanamke muuza matunda kuna dada alikuwa jeuri kweli kweli kwa mshkaji wake kisa jamaa dereva na yeye akapita na bosi dereva. Sasa siku moja nikamkuta stend amepigika Tabora pale anauza vocha na matunda, huyu huruma iliniondoka ghafla nikatamani kumpiga na makofi maana jamq yake sasa hivi anafamilia nyingine na kafungua duka la spare anampunga mzuri tu.
 
Nilikuwa na house girl mshamba mbutika kamaliza gongo la mboto mwisho wa lami. Anavaa vitenge mpaka kwenye unyayo..
Baada ya mwezi akaanza kunawiri
Baada ya mwezi mwingine akapata simati foni. Shida ilianzia hapo
Jamani kama kuna binti ambaye nilimuasa kuhusu maisha yule anaongoza..
Lakini sasa hivi analea mimba aliyojaribu kuitoa mara tano ikishindikana.. Kapanga chumba cha giza kula yake ya kubahatisha.. Kakonda kabaki kichwa
Nawaza sana akijifingua future yake na mtoto itakuwaje
Kuna mambo magumu sana kuhusu hawa wanawake na ndo maana wengine tunawaoa kumbe umeoa kwa kumuonea huruma then anakuja kukutesa hadi unaanza kujionea huruma na wewe mwenyewe.
 
Back
Top Bottom