Hii italeta utata sana hasa kwa kina RRONDONakerekwa sana na watu maskini wanaozaa watoto bila kuwa na uwezo wa kuja kuwahudumia.
Wanaleta viumbe duniani waje wateseke bila sababu yeyote.
Ingekuwa inawezekana, Watu maskini wasizae kabisa.
Maana hawa ndio wanaongeza idadi ya maskini wengine duniani na gharama za serikali kuhudumia maskini wapya kila siku.
Aisee...nilidha I mie ndio bwege wa jf kumbe Kuna bwege zaidi yangu 🤣🤣🤣🤣Ukigegeda lazima upate watoto??
Kwani njia ya uzazi wa mpango ni condom tu??Aisee...nilidha I mie ndio bwege wa jf kumbe Kuna bwege zaidi yangu 🤣🤣🤣🤣
Sie maskini hatutaki kumpiga nyeto na condom zenu nyie matajiri. Sex haikusudiwa kuwa hivyo
Wee bwana hiyo elimi yenyewe tunayo kwanza evu tuanzie hapo....Kwani njia ya uzazi wa mpango ni condom tu??
Naapa MunguBaba wa watoto wako wapi? Kuna Wakati natamani mno kuwaonea huruma lakini nyuma yao kuna wengi wameyataka na kukaidi ushauri wa wakubwa
Labda hakukuelewa!!!Naapa Mungu
Kuna wasichana walikuwa Twins wadogo tu
Mmoja akapata mimba
Kajifungua analea mtoto karibu na mtaro wa maji huku akiuza nyanya
Nikamwambia pacha wake usifanye makosa aliyofanya ndugu yako
Haijapita mwaka nae kabeba mimba
Sasa utamwambia nini binadamu kama huyo ?
Sio mimi tu niliempa ushauri maana walikuwa wako karibu sanaL
Labda hakukuelewa!!!
Kabisa yaaniNakutana na kundi kubwa la wanawake wakiwa wamebeba watoto wadogo wakitembeza matunda mazingira ya jua Kali sana nawaonea huruma ukikuta dada anateseka juani na mtoto fanya kama unatoa sadaka tu kwa kununua matunda yake utabarikiwa sana
Chura kiziwi hata hata kuwasikia Wala kuwaonaNakutana na kundi kubwa la wanawake wakiwa wamebeba watoto wadogo wakitembeza matunda mazingira ya jua Kali sana nawaonea huruma ukikuta dada anateseka juani na mtoto fanya kama unatoa sadaka tu kwa kununua matunda yake utabarikiwa sana
Halafu mkuu unaweza kukuta kwenye circle ya nasaba yake umaskini upo kwnye kiwango cha kutosha.Ndio mkuu nyinyi matajiri mnatamani mbaki wenyewe duniani,tuueni basi.
Hii JF ina vituko sana,watu wanatoa kauli hizi na unakuta ingeamriwa maskini wasizae hata wao leo wasingekuwepo duniani..
Tuwasaidie pia na Wanaume na wavulana wanaotembeza bidhaa Mbalimbali mtaani
Sasa huyo muuza matunda ukamsaidia kwa kununua matunda 2 tu hapo umemtoa? Ndiyo maana nimesema kama umeguswa Kaa naye chini muulize sababu na hapo angalia chakumsaidiaSaidia pale unapo.ona unaweza kusaidia lakini Kama huna unaweza kuacha
Hebu fikilia kwamfano ulikuwa unapita sehemu uka kutana na mtu ananjaa akaja kukuomba chakula ukamnyima na pesa unayo ya kukutosha na ziada
na baada ya kutoka uliko kuwa una pita mitaa ileile unaambiwa kunamtu kafa kwa njaa hapo nyuma
Unaenda kushuhudia unagundua niyule uliye mnyima utajiskiaje mkuu?
NakubaliBaba wa watoto wako wapi? Kuna Wakati natamani mno kuwaonea huruma lakini nyuma yao kuna wengi wameyataka na kukaidi ushauri wa wakubwa
Uliingiwa imani bila kununua hata ndizi zake mkuu?Kama kuna mmoja nimemuona juzi kati hapo barabara ya bibi titi, mtoto mchanga kabisa hana hata wiki mbili ila mama mtu kashaingia barabarani anauza ndizi mbivu niliingiwa imani sana niliwaza vitu vingi mno
Hujui nilikuwa naenda na kutokea wapi? Na nilikuwa kwenye nini? Punguza kukurupukaUliingiwa imani bila kununua hata ndizi zake mkuu?
Dunia haina huruma..!Usipofunzwa na mama utafunzwa na ulimwengu
Kabisa mkuuDunia haina huruma..!