Certified Hater
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 1,760
- 3,733
ishi maisha yako wewe kwani .kwanu huwa tunakuja kula kwenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulojoooooooooo umeusahau mkuuHabari
Nilitembeaga dar siku za karibuni ila
hizi tabia za baadhi ya wanaume wa dar na (wenye tabia zinazofanana nazo)
1. Wanaume hawa wanajua perfumes, lotions, deudorant, lip bumbs(whatever) and others. Mimi hili liliniudhi sana tena unaongea bila aibu.
2. Wanaume hawa wanapenda weaving, kulaza nywele, cream, na kunukia vizuri kila wakati.
3. Wanaume hawa wanapenda shopping sana. Wakitoka kazini, wanapita supermarket, shoprite n.k kwenda sokoni hawawezi. Mi nilishangaa mmoja kuchinja kuku alikimbia. lakini wanapenda kuku sijawahi ona Tanzania
4. Wanaume hawa wambeya sana... mfano Linah kuonyesha kibendi chake ikawa talk of the town realy. Sasa mambo ya kike na nyie yanawahusu nawauliza
5. Wanapenda vyakula laini kama wazazi. mi nilishangaa unapanda gari na mtu anakula chocolate na tukijiko tudogo kama kijiti.
6. Wavivu sana... wanapenda kazi za ofisini kulima hawawezi maana mikono milaini... mikono ya kupaka poda tsk
EMBU KUWENI WANAUME NYINYI MNATUAIBISHA SANA
Jina jipya huo mkoa unaitwa "Dume Suruali City"hapo ndipo penye vitu adimu kupatikana tanzania kuna mashoga a.k.a embe la mombasa ni wanaume hao.kuna wafiraji a.k.a Muwa kutoka morogoro(hapa wote ni wanaume yaani mfi...na mfwi..wote madume).shubashekiii.Yesu njoo.8. Hawana msaada kwa wanaume wenzao... nilishuhudia mkaka mmoja alidondoka (nadhani sukari ilishuka) walikuwa wanampita kama hawamuoni mpaka mdada mmoja akamnunulia fanta
9. Wanapenda wanawake sijapata ona ... mfano aje memba wa kike anzishe mada 'nimeamka kukojoa' usiku saa nane mpaka asubuhi nyuzi ishajaa kurasa 50.
10. Aombe msaada mwanamke hapa atapewa msaada wa kimataifa mfano kuna memba mmoja wa kike hapa jf alitaka kuanzzisha bandari aisehh nilishangaa watu walishuka point nikashangaa. Omba msaada wewe 'ninunue mashine gani ya kunyeshelea' hutapata jibu.
11. Hawaongei na wanaume wenzao... unashangaa kwenye mwendokasi kila mtu na simu yake alafu bize ukichungulia unakuta yuko badoo, snapchat kweli...
12. Omba msaada sasa mimi niliomba nionyeshwe njia ya posta nikapaone nikaambiwa nitoe buku eti mjini mipango
NITAENDELEA BAADAYE
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli aisee sidhani kama kuna mzaramo anayehangaika na huu upuuzi wa wanaume wa Dar vs.wa mikoani. Naona watu hapa wanakimbizana na vivuli vyao wenyewe.Wanaume wa mikoani mnabishana sana Mzaramo nawaangalia tu. Cha ajabu mmejigawa katika makundi mawili... wa Dar na wa mikoani.
😀😀😀Tupishe hukoo!5. Wanapenda vyakula laini kama wazazi. mi nilishangaa unapanda gari na mtu anakula chocolate na tukijiko tudogo kama kijiti.
Hahahahahahahahah mkuu huyo jamaa vipi ndani ya hilo dubwashika?Bado wako saloon mkuu ngoja watoke utauona moto wake!!View attachment 509907
Bongo muvieBado wako saloon mkuu ngoja watoke utauona moto wake!!View attachment 509907
Nakuunga mkono.7.WANAPENDA KUVAA VISURUALI VYA KUBANA KAMA WANAWAKE..YAANI VISURUALI VINAVYOCHORESHA MWILI YAANI SIJU WANAUZA NINI??
Pita huku, niliiona nikaiachakuna kaokota chaja ya simu yAngu?
mmh sa inabidi wakimbilie nini kwamfanoIla kweli. Mwanaume unakimbilia kukaa kwenye mwendo kasi hadi unaangukia pua. Mmezidi bhana.