Tuwaseme mpaka wabadilike: Wanaume wa Dar

Tuwaseme mpaka wabadilike: Wanaume wa Dar

Habari

Nilitembeaga dar siku za karibuni ila
hizi tabia za baadhi ya wanaume wa dar na (wenye tabia zinazofanana nazo)

1. Wanaume hawa wanajua perfumes, lotions, deudorant, lip bumbs(whatever) and others. Mimi hili liliniudhi sana tena unaongea bila aibu.

2. Wanaume hawa wanapenda weaving, kulaza nywele, cream, na kunukia vizuri kila wakati.

3. Wanaume hawa wanapenda shopping sana. Wakitoka kazini, wanapita supermarket, shoprite n.k kwenda sokoni hawawezi. Mi nilishangaa mmoja kuchinja kuku alikimbia. lakini wanapenda kuku sijawahi ona Tanzania

4. Wanaume hawa wambeya sana... mfano Linah kuonyesha kibendi chake ikawa talk of the town realy. Sasa mambo ya kike na nyie yanawahusu nawauliza

5. Wanapenda vyakula laini kama wazazi. mi nilishangaa unapanda gari na mtu anakula chocolate na tukijiko tudogo kama kijiti.

6. Wavivu sana... wanapenda kazi za ofisini kulima hawawezi maana mikono milaini... mikono ya kupaka poda tsk

EMBU KUWENI WANAUME NYINYI MNATUAIBISHA SANA
Ulojoooooooooo umeusahau mkuu
 
8. Hawana msaada kwa wanaume wenzao... nilishuhudia mkaka mmoja alidondoka (nadhani sukari ilishuka) walikuwa wanampita kama hawamuoni mpaka mdada mmoja akamnunulia fanta

9. Wanapenda wanawake sijapata ona ... mfano aje memba wa kike anzishe mada 'nimeamka kukojoa' usiku saa nane mpaka asubuhi nyuzi ishajaa kurasa 50.

10. Aombe msaada mwanamke hapa atapewa msaada wa kimataifa mfano kuna memba mmoja wa kike hapa jf alitaka kuanzzisha bandari aisehh nilishangaa watu walishuka point nikashangaa. Omba msaada wewe 'ninunue mashine gani ya kunyeshelea' hutapata jibu.

11. Hawaongei na wanaume wenzao... unashangaa kwenye mwendokasi kila mtu na simu yake alafu bize ukichungulia unakuta yuko badoo, snapchat kweli...

12. Omba msaada sasa mimi niliomba nionyeshwe njia ya posta nikapaone nikaambiwa nitoe buku eti mjini mipango

NITAENDELEA BAADAYE
Jina jipya huo mkoa unaitwa "Dume Suruali City"hapo ndipo penye vitu adimu kupatikana tanzania kuna mashoga a.k.a embe la mombasa ni wanaume hao.kuna wafiraji a.k.a Muwa kutoka morogoro(hapa wote ni wanaume yaani mfi...na mfwi..wote madume).shubashekiii.Yesu njoo.
 
Wanaume wa mikoani mnabishana sana Mzaramo nawaangalia tu. Cha ajabu mmejigawa katika makundi mawili... wa Dar na wa mikoani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli aisee sidhani kama kuna mzaramo anayehangaika na huu upuuzi wa wanaume wa Dar vs.wa mikoani. Naona watu hapa wanakimbizana na vivuli vyao wenyewe.
 
7.WANAPENDA KUVAA VISURUALI VYA KUBANA KAMA WANAWAKE..YAANI VISURUALI VINAVYOCHORESHA MWILI YAANI SIJU WANAUZA NINI??
Nakuunga mkono.
Hiyo ni mitoko ya karne.

Unataka tuvae suruali kama za Ngoswe
 
Ila wanaume wa Dar aiseeeee mnaogopa hata mende au panya!!!!! nyie ni tatizo kubwa aiseeeee
 
Ila kweli. Mwanaume unakimbilia kukaa kwenye mwendo kasi hadi unaangukia pua. Mmezidi bhana.
 
Back
Top Bottom