Si hitaji kuungwa mkono na yeyote ila ninasimama na ninachokiamini. Sipambani wala kupambania lolote kwani maisha yako au ya yeyote ya mjinga asiyenihusu yana nini cha kufanya nami? Kama binadamu ninayo haki ya kufanya tathmini zangu na kwa hilo "I do it with vigor."
1. Leo hii hatimaye msimamo wa serikali (kuhusu Corona) ni kama ulivyo wetu (nikiwamo mimi) na si kama wenu ambao bila aibu ninawaita wajinga ukiwamo wewe:
View attachment 1845380
2. Leo hii ninatambua kuwa katika kundi la wajinga hao kila mpinga hatua hizi njema za serikali pia ni mpinga Uwepo wa katiba mpya:
View attachment 1845379
3. Kwamba rais katoa tamko kuhusu Ugonjwa huu kwa sababu ya mimi kumtaka kufanya hivyo? Huo nao ni uthibitisho zaidi wa ujinga wako.
4. Kwamba naunganisha Corona na katiba kupata uungwaji mkono? Huo nao ni uthibitisho zaidi kuwa utakuwa na tatizo la elimu ambayo ndiyo asili ya ujinga wako:
View attachment 1845384
Nenda shule jombi. Elimu haina mwisho!