UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Anaitumia corona kufikisha hisia zake za kisiasa tu hivyo si lazima atumie corona, mwaka jana wakati wa uchaguzi aliachana na habari za corona na kumtumia Lissu. Hivyo usione anaizungumzia corona kutwa ukafikiri anajali afya.Huyu jamaa anaipambania Corona sijapata kuona,ikitokea dunia nzima Corona iishe,itamuuma Sana,maana post zake nyingine ni corona.
Na bahati mbaya anachokitamani kitokee Tanzania kamwe hakitatokea.