pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Habarini ndugu zangu,
Napendekeza tuanze utaratibu wa kuwatembelea askari wetu wa jeshi la Polisi katika vituo vyao vya kazi kwa ajili ya kuwaonyesha upendo, kuwajali na kuwatia moyo katika kazi zao.
Tunaweza kwenda na soda, au juice na kuwagawia kwa kunywa nao na kupiga story zenye tabasamu na upendo ili kukuza urafiki wetu, Twende nao katika migahawa ya karibu tule nao chakula na kupiga story zenye vicheko.
Tukiwa na utaratibu huu nchi nzima mtakuja kunishukuru na huenda mkanijengea mnara katikati ya barabara ya Samora!