Tuwatembelee Mapolisi wetu katika vituo vyao kuonesha Upendo

Habarini ndugu zangu,

Napendekeza tuanze utaratibu wa kuwatembelea askari wetu wa jeshi la Polisi katika vituo vyao vya kazi kwa ajili ya kuwaonyesha upendo, kuwajali na kuwatia moyo katika kazi zao.

Tunaweza kwenda na soda, au juice na kuwagawia kwa kunywa nao na kupiga story zenye tabasamu na upendo ili kukuza urafiki wetu, Twende nao katika migahawa ya karibu tule nao chakula na kupiga story zenye vicheko.

Tukiwa na utaratibu huu nchi nzima mtakuja kunishukuru na huenda mkanijengea mnara katikati ya barabara ya Samora!
Unamaanisha hawa policcm?
Au askari jeshi?
 
Sema kuna baadhi ya police wao wanataka muda wote waogopewe na Raia!!
 
Kwa hyo nikapige story na jumanne muliro au siro kbsa wale jamaa Ni wa ovyo San siwez kuwa na rfi askri au police Bora mwanajesh Mara Mia Zaid siyo Hawa jamaa ..muda wote wanawaza hell tu na hawan msaada pindi unapopatwa na majanga ndio njia yao ya kukupiga zais
 
Back
Top Bottom