pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
unaenda na soda zako unaswekwa ndani unaonekana muuaji kupitia vyakula na vinywaji, ukiwa mahabusu ukijifanya mjuaji wanakusogezea tambara la dekio ujiongezee! achana na wale viumbe kabisa
Watakugeuzia kibao kuwa umeenda na bangi, nenda wewe mimi hata kuwaona tu sitakiHabarini ndugu zangu.
Napendekeza tuanze utaratibu wa kuwatembelea askari wetu wa jeshi la Polisi katika vituo vyao vya kazi kwa ajili ya kuwaonyesha upendo, kuwajali na kuwatia moyo katika kazi zao.
Tunaweza kwenda na soda, au juice na kuwagawia kwa kunywa nao na kupiga story zenye tabasamu na upendo ili kukuza urafiki wetu, Twende nao katika migahawa ya karibu tule nao chakula na kupiga story zenye vicheko.
Tukiwa na utaratibu huu nchi nzima mtakuja kunishukuru na huenda mkanijengea mnara katikati ya barabara ya Samora!
Inaitwa jambazi limejileta..😂unaenda na soda zako unaswekwa ndani unaonekana muuji kupitia vyakula na vinywaji
Bora utembelee hata simba lakini siyo polisiYani niende kumtembelea chatu???
Hapana aisee utanisamehe tu kwa kweli.
Ndugu yangu usithubu, hizo soda na biskuti utakazo peleka watakupa kesi ya rushwaHabarini ndugu zangu.
Napendekeza tuanze utaratibu wa kuwatembelea askari wetu wa jeshi la Polisi katika vituo vyao vya kazi kwa ajili ya kuwaonyesha upendo, kuwajali na kuwatia moyo katika kazi zao.
Tunaweza kwenda na soda, au juice na kuwagawia kwa kunywa nao na kupiga story zenye tabasamu na upendo ili kukuza urafiki wetu, Twende nao katika migahawa ya karibu tule nao chakula na kupiga story zenye vicheko.
Tukiwa na utaratibu huu nchi nzima mtakuja kunishukuru na huenda mkanijengea mnara katikati ya barabara ya Samora!
Haina shida kuwatembelea ila tatizo ni namna ya kutoka kwani utaratibu waliojiwekea ni kuingia bure kutoka dah! Hapo sasa bila kitu kidogo sijui utatokaje, labda tuwakute Jangwani.Habarini ndugu zangu.
Napendekeza tuanze utaratibu wa kuwatembelea askari wetu wa jeshi la Polisi katika vituo vyao vya kazi kwa ajili ya kuwaonyesha upendo, kuwajali na kuwatia moyo katika kazi zao.
Tunaweza kwenda na soda, au juice na kuwagawia kwa kunywa nao na kupiga story zenye tabasamu na upendo ili kukuza urafiki wetu, Twende nao katika migahawa ya karibu tule nao chakula na kupiga story zenye vicheko.
Tukiwa na utaratibu huu nchi nzima mtakuja kunishukuru na huenda mkanijengea mnara katikati ya barabara ya Samora!
[emoji249][emoji249][emoji249]hao nenda uwasalimie weweHabarini ndugu zangu.