Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 10,999
- 23,540
- Thread starter
- #21
So mfano wewe ulikujaje vizuri na ulipokuja umekuja kunikanusha kuwa nilichoandika hakina maana so ulitaka nikusapoti au ulitaka nifanyaje?Ulianza vizuri, lakini naona una stress fulani hivi. Kwenye huu uzi wako kila atakayekuja kucomment unakua kinyume naye, unampinga.
Utajijua mwenyewe na matatizo yako
Mimi ninakemea 'simping culture' wewe kama unaona ni jambo zuri weka hapa faida zake kama ni baya tushirikiane kulikemea sasa umefika na kunicrush na kusema sijui ninaongea vitu havieleweki, ulitaka mapokezi yangu yawe vipi mkuu?
Okay niambie,wewe kwako kwann kusimp kuna faida?