Tuwatokomeze ma'simp hawatuwakilishi wanaume hata kidogo

Jomba acha kulilia wanaume wenzako wanaoishi maisha yao. Focus kwenye mambo yako kwa sababu hata ukikwama hakuna mtu wa kuja kukuokoa.
Sawa ila zingatia kuwa simping sio culture ya kiume.
 
Attachments

  • FB_IMG_1745306027731.jpg
    FB_IMG_1745306027731.jpg
    101.5 KB · Views: 18
Jikite kwenye CHAPUTA mkuu. Hizo hela unazoshangaa mtu anavyozitumia ungeshangaa pia jinsi anavyotafuta. Vijana wengi mmekuwa waoga sana mbele ya wanawake ndo maana mnataka wao pia wabebe baadhi ya majukumu yenu. Wewe ni mtu dhaifu ndo maana umeandika uzi wa kuwalilia wanaume wenzio tusiotaka kuwaachia wanawake majukumu yanayotuhusu.
Gwiji la masimp likijaribu ku justify u simp wake
 
Mie najiwaziaga tu mke wako anavyopata taabu,.
Maana kanuni za maisha unatuandikia humu ni ngumu mnoo
Niliwahi mwandikia hili Natafuta Ajira kama si yeye basi ni yule mwingine wana mitazamo sawa, jina limenitoka.

Alinijibu ati… Mwanamke wake anaishi nae hivyo na amekubali sababu hana mentality za kidangaji kama “sisi” I was like nigg* what!

To the best of my knowledge.. Hamna mwanamke wa hivyo, Woman are okay to be broke-alone not the other way around.. Akikubali kuchangia, sahau kuhusu her being submissive … Ndio malalamiko ya wanaume wa sasa juu ya wanawake wenye kipato.

You can’t have a submissive-provider! Chagua kimoja.
 
Wanaume hatuna shida na ku-provide. Hata ukiangalia original ya muingiliano wa mahusiano baina ya mwanaume na mwanamke utaona Wanaume bado tupo kwenye original yetu. Kwamba tunatambua wajibu wetu kama walinzi na wahudumiaji. Ni wanawake ndio mmetoka kwenye original yenu ya kuwa complementor wa mwanaume na Sasa mnataka kuwa competetor

Msingi wa mahusiano kabla ya hizi siasa za usawa wa kijinsia, ni Kwamba mwanaume akatafute, mwanamke atunze nyumba.

Mliweka mkutano wenu Beijing mkataka haki ya kutoka mkatafute mkate. Bahati mbaya hamkuwaza Kwamba hiyo haki Sawa mnayoitaka itakuja na wajibu sawa. yaani kama unaitaka nafasi ya mwanaume kwa kigezo cha usawa wa kijinsia maana yake lazima ukubali kupoteza privilege zote ulizokua unazipata kutoka kwa huyo mwanaume. Hapa ndipo panapowashinda, hampo tayari kuachia kimoja

Now you want place of a man, privilege of a woman and responsibility of neither. Haiwezekani ukapewa nafasi ya provider halafu ubakie na privilege ya receiver. Lazima balance itakosekana hao. You can't wrestle nature. Nature haitambui hizo ideologies za feminism na 50/50

Feminism did this, only feminism can fix it. The ball is in your court. If you want to be man's competetor you have to sacrifice all privileges you demand from him and if you want to be man's complementor then you must get lid of that 50/50 ilusion
 
Niliwahi mwandikia hili Natafuta Ajira kama si yeye basi ni yule mwingine wana mitazamo sawa, jina limenitoka.

Alinijibu ati… Mwanamke wake anaishi nae hivyo na amekubali sababu hana mentality za kidangaji kama “sisi” I was like nigg* what!

To the best of my knowledge.. Hamna mwanamke wa hivyo, Woman are okay to be broke-alone not the other way around.. Akikubali kuchangia, sahau kuhusu her being submissive … Ndio malalamiko ya wanaume wa sasa juu ya wanawake wenye kipato.

You can’t have a submissive-provider! Chagua kimoja.
Aaaah, please, yes you can have a woman who is both submissive and paying her fair share of the family's bills. Hatudai equality kwa mwanamke. Tunadai equity. Halafu being submissive sijui mnaielewaje. It's not enslaving yourself to please your husband. It's being respectful of the natural role of your husband as a man.
 
Mgazeti mrefu, na hao unao waandikia, wala hawana mda nalo.
😂😂😂😂😂😂 kazi unayooo.
Mafeminist wa kiume wamekuwa wengi sana. Suala la watu kupambania papuchi halijaanza leo..... pia mbinu na silaha za mapambano zimebadilika.. zamani binti wa kinyakyusa ukimpa parachichi 3 tayari umempagawisha au wale mabinti wa kiiraqw ukiwanunulia maandazi pori na miwa unakuwa umewavuruga vibaya. Siku hizi nyenzo ni HELA.
 
Swadaktaaaa!!
 
Huwa hawaelewi hiki kipande utadhani wamerogwa
 
Mafeminist wa kiume wamekuwa wengi sana. Suala la watu kupambania papuchi halijaanza leo..... pia mbinu na silaha za mapambano zimebadilika.. zamani binti wa kinyakyusa ukimpa parachichi 3 tayari umempagawisha au wale mabinti wa kiiraqw ukiwanunulia maandazi pori na miwa unakuwa umewavuruga vibaya. Siku hizi nyenzo ni HELA.
Umechagua tu kuwa mzembe sasa sijui kwa faida ya nani.
 
Mgazeti mrefu, na hao unao waandikia, wala hawana mda nalo.
😂😂😂😂😂😂 kazi unayooo.
Unaweza kudhania kuwa kila mtu ana mtazamo kama wako kwasababu ya urefu wa upeo wako wa kiakili ulipoanzia na kuishia. Ila usichofahamu kuna watu wanaweza kusoma maneno hata laki moja kwa siku na wanajiskia kawaida kabisa.

Usiamini kuwa wewe ni toleo la pekee na unachokidhania ndivyo kilivyo hivyo hivyo. Watu wanatofautiana.

Wewe kama hausomi magazeti wenzako wanasoma fresh tu. So kuwa mpole.
 
Niliwahi mwandikia hili Natafuta Ajira kama si yeye basi ni yule mwingine wana mitazamo sawa, jina limenitoka.

Alinijibu ati… Mwanamke wake anaishi nae hivyo na amekubali sababu hana mentality za kidangaji kama “sisi” I was like nigg* what!

To the best of my knowledge.. Hamna mwanamke wa hivyo, Woman are okay to be broke-alone not the other way around.. Akikubali kuchangia, sahau kuhusu her being submissive … Ndio malalamiko ya wanaume wa sasa juu ya wanawake wenye kipato.

You can’t have a submissive-provider! Chagua kimoja.
Mbona mnabadili mada ionekane kuwa nimesema mwanaume hatakiwi kutoa pesa kwa mwanamke wake anaestahili kupewa matumizi bila shida?

Nimesema hivi, kuna wanawake wenye mtazamo wa kuchuna wanaume sababu hao wanaume hajisomi na wanatumia pesa kutaka kuwafanya wanawake wawapende,hiyo si sawa.

Huu mjadala wenu mnatoka nao wapi mbona mnafeli padogo sana?

So wewe upo comfortable mume wako akiwa anagawa pesa nje kwa wanawake wengine huku wewe ukipata kidogo ama kuishi kwa bajeti finyu?
 
Mafeminist wa kiume wamekuwa wengi sana. Suala la watu kupambania papuchi halijaanza leo..... pia mbinu na silaha za mapambano zimebadilika.. zamani binti wa kinyakyusa ukimpa parachichi 3 tayari umempagawisha au wale mabinti wa kiiraqw ukiwanunulia maandazi pori na miwa unakuwa umewavuruga vibaya. Siku hizi nyenzo ni HELA.
 
Attachments

  • images.png
    images.png
    11.3 KB · Views: 28
Mbona mnabadili mada ionekane kuwa nimesema mwanaume hatakiwi kutoa pesa kwa mwanamke wake anaestahili kupewa matumizi bila shida?

Nimesema hivi, kuna wanawake wenye mtazamo wa kuchuna wanaume sababu hao wanaume hajisomi na wanatumia pesa kutaka kuwafanya wanawake wawapende,hiyo si sawa.

Huu mjadala wenu mnatoka nao wapi mbona mnafeli padogo sana?

So wewe upo comfortable mume wako akiwa anagawa pesa nje kwa wanawake wengine huku wewe ukipata kidogo ama kuishi kwa bajeti finyu?
Poleee 😂😂😂😂
 
🤛🏿 Chukua kwanza tano hiyo ya kiume. Umenipata vema sana na umeandika some solid and strong comment hapa.

Kuna vilaza hawajasoma kabisa mchezo hadi dakika hii wanakuja kulia lia hapa. Ma'simp ni kama yamerogwa mzee.
Uko sahihi but don't take it too personal.
Labda wamerogwa na aina ya maisha/malezi waliyokulia au marafiki wajinga au aina ya vitu wanavyoangalia na kusikiliza mitandaoni au movies etc, Pengine articles na vitabu walivyosoma.

Wengine wanajibu kutafuta attention, wengine ilimradi wamejibu, wengine Trauma, wengine elimu, wengine makusudi tu, wengine wanachukia kuambiwa ukweli na hivyo wanafanya Deffensive Mechanism.

Lakini mwisho wa siku, simp au Nice guy ni mwanaume aliyekosa msimamo wa ndani. Anahitaji ukombozi wa kifikra na kujifunza kujithamini kabla ya kutafuta kupendwa.
 
Back
Top Bottom