So mfano wewe ulikujaje vizuri na ulipokuja umekuja kunikanusha kuwa nilichoandika hakina maana so ulitaka nikusapoti au ulitaka nifanyaje?Ulianza vizuri, lakini naona una stress fulani hivi. Kwenye huu uzi wako kila atakayekuja kucomment unakua kinyume naye, unampinga.
Utajijua mwenyewe na matatizo yako
Wanawake kiasili they are very weakOkay but sijaelewa ni wapi andiko ni unrealistic sababu ninachokemea ni tabia ya wanaume kujidhoofu na kujiweka under women rule.
Sijui kama umenielewa neno simping linatumikaje?
50/50 sio culture ya kiume na ni definitely sio culture ya simps. So sijaelewa how umeiweka katika hoja yako kama kitu ambacho nimekiongelea.
Nilichoongelea kuhusu 50/50 ni mamlaka mfano masimp kupigia chapuo mwanamke awe raisi au mkuu wa idara au kikosi cha askari then mambo yakimuelemea wao wanakaa kando wanatazama tu mambo yanavyokwenda hovyo.
50/50 ni mojawapo ya kitu ambacho masimp walikivalia kubwebwe na kukipigia chapuo leo hii wanawake wanapata access ya kufanya mambo mengi ila ukirejea kwenye jamii madhara ni makubwa kuliko faida. Ukichunguza unaambiwa wanaume pia mlitaka hivi, je ni kweli wanaume tulitaka huu upuuzi hapana ni masimp.
Jikite kwenye CHAPUTA mkuu. Hizo hela unazoshangaa mtu anavyozitumia ungeshangaa pia jinsi anavyotafuta. Vijana wengi mmekuwa waoga sana mbele ya wanawake ndo maana mnataka wao pia wabebe baadhi ya majukumu yenu. Wewe ni mtu dhaifu ndo maana umeandika uzi wa kuwalilia wanaume wenzio tusiotaka kuwaachia wanawake majukumu yanayotuhusu.Hapo umejaribu kutengeneza majibu ngoja nikupe majibu ili usihangaike kunielewa next time.
Sio swala la kutokuwa na shobo na mwanamke kama umesoma vizuri nilichoandika ungeelewa kuwa nimeongelea kuforce mahusiano sehemu ambayo hautakiwi. Sasa ni mtu mjinga tu pekee ndie ataona mtu anayeongelea hilo anakosea.
Ni vema kumpenda mwanamke ambaye anakuchukulia kama binadamu ila sio object ya kuvalidate uwepo wake kwenye maisha na kucheza na hisia zako bila kukuweka bayana kuwa unakosea wapi. Mimi binafsi ninapenda wanawake ila ambao wanabehave kama wanawake na sio wenye tabia abnormal za kucheza na hisia za wanaume.
Kuhusu nguvu za kiume na pesa hapo pia nadhani ume assume sina hizo changamoto.
Sishangai mtu kutoa laki tano yake ila nashangaa wewe kuona ni kawaida mtu kuharibu pesa zake kwenye mambo yasiyo na maslahi kwake.
Change bro,simping sio culture ya kiume. Inakuuma kwasababu upo compromised,jirekebishe ubadilike.
Huyu mleta uzi Zemanda ni feminist wa kiume. Analilia 50/50Mie najiwaziaga tu mke wako anavyopata taabu,.
Maana kanuni za maisha unatuandikia humu ni ngumu mnoo
They are very strong if a Man is a Simp.Wanawake kiasili they are very weak
π kwahiyo hupendi kusoma ila kuangalia na kusikiliza ujinga ule ule poa tu !! πWeka picha au video, maandishi ni mengi na mambo yenyewe ni ya kijinga, nani atakayesoma?
Katu siwez kuja kukubali kuwa wanawake ni weak. These creatures are fierce and strong. Ukicheka cheka nao, umekwishaaaBut They are very strong if a Man is a Simp.
They are not weak they are different. Don't confuse weakness with difference. A Fish is a bitter swimmers than monkeys who are better tree climbers. What you cannot do is not your weakness it's your difference.Wanawake kiasili they are very weak
Anapataje taabu tena na wakati yupo on point anajifunza na yupo kwenye mstari?Mie najiwaziaga tu mke wako anavyopata taabu,.
Maana kanuni za maisha unatuandikia humu ni ngumu mnoo
Upo sahihi, hawa viumbe wanapewa nguvu na Usimp.Katu siwez kuja kukubali kuwa wanawake ni weak. These creatures are fierce and strong. Ukicheka cheka nao, umekwishaaa
Sasa kama unawaza punyeto kama suluhu ya matatizo tayari uone wewe ni mtu wa namna gani.Jikite kwenye CHAPUTA mkuu. Hizo hela unazoshangaa mtu anavyozitumia ungeshangaa pia jinsi anavyotafuta. Vijana wengi mmekuwa waoga sana mbele ya wanawake ndo maana mnataka wao pia wabebe baadhi ya majukumu yenu. Wewe ni mtu dhaifu ndo maana umeandika uzi wa kuwalilia wanaume wenzio tusiotaka kuwaachia wanawake majukumu yanayotuhusu.
Wapi nimeongelea 50/50 na wanawake? Au kwasababu nimesema sitaki kula unassume nimeshiba,vipi kama nataka kula chakula tofauti?Huyu mleta uzi Zemanda ni feminist wa kiume. Analilia 50/50
π€πΏ Chukua kwanza tano hiyo ya kiume. Umenipata vema sana na umeandika some solid and strong comment hapa.Upo sahihi, hawa viumbe wanapewa nguvu na Usimp.
Lakini utamu wa Story ni kwamba wanawake wengi wana chase a man who is not a Simp kwasababu kila mwanamke anademand Security, Oportunity and Experience from a man.
Only a disciplined man can be able to do that.
Ndiyo maana mwanamke anapenda mtu anayeweza kutoa si tu pesa, bali pia mwelekeo, msaada, na nafasi ya kukua kimaisha.
Kwa kifupi, usimp ni mtawala wa nguvu isiyo na msingi halisi yaani simp anafanya kila awezalo hata kuvunja misingi yake ili amfurahishe mwanamke, lakini real man ndiye mtoaji wa maisha yenye maana na yuko very Straight and Disciplined.
Jomba acha kulilia wanaume wenzako wanaoishi maisha yao. Focus kwenye mambo yako kwa sababu hata ukikwama hakuna mtu wa kuja kukuokoa.Sasa kama unawaza punyeto kama suluhu ya matatizo tayari uone wewe ni mtu wa namna gani.
Halafu wapi nimesema pesa ni tatizo kumpatia mwanamke?
Nimekemea tabia ya mwanaume kuforce attention na kusimp lakini pia mwanamke kutake advantage ya mwanaume mkaribu kumsafisha pesa zake kuwa sio jambo sawa.
Okay,hebu nambie wewe, mwanamke ambaye si mkeo anaingiaje kwenye bajeti zako tena kwa kupanga yeye halafu wewe usherehekee kuwa ni ufahari? Huoni ninyi ndio mnafanya wanawake waone kudanga ni deal kuliko kuwa katika ndoa halafu kesho tunakuja kuonekana wanaume hatuoi mara sijui kataa ndoa kumbe ma'simp yanawapa wanawake jeuri nje ya ndoa na mwisho wa siku yanaishia kuparaza hayapati kitu zaidi ya asante.
Mimi sijakukata kuwa simp nimekupa fact kuwa ni ufala kuwa simp. Kama wewe unaona ni ufahari endelea kwani natumika mimi au wewe?
Ishi maisha yako ya u'simp in peace βπΏ. But usizuie Sensei wa Masculinity na watu wake kuendeleza jihadi ya kiume.