Tuwatokomeze ma'simp hawatuwakilishi wanaume hata kidogo

Hapa kuna kosa la kimantiki yaani unachanganya vitu viwili kwa wakati mmoja - Category Error.
Unachanganya Simping na Feminism.

Simping iko kwenye kundi la tabia za mtu binafsi - Personal (Ni tabia kama ilivyo Ulevi au Uasherati)

Feminism iko kwenye kundi la itikadi na harakati za kijamii. (Ni chama, Kikundi au Mfumo rasmi kama ilivyo CCBRT au HRC)

Simp ni mwanaume anayekosa Selfrespect and Lack controll hivyo anafanya chochote kumfurahisha mwanamke hata kujivua heshima yake na uzuri wanawake hujua hili - "Huyu nikimfanyia hivi haruki" labda kulegeza sauti au kulia kwa kuigiza ili uchukue pesa au muda wake sababu hana msimamo.

Mwanaume wa 50/50 si lazima awe simp, anaweza kuwa na msimamo, lakini amekubali mfumo wa kisasa wa usawa (kama mwanamke analipa bills - anaona its Okay).

Na mwanamke kuwa provider si ishara ya mwanaume kuwa simp mda mwingine hali husababisha mwanamke awe 100% provider lakini kama mwanaume ana dira na nguvu ya uongozi kwenye familia hapo hawezi kuwa Simp hata kama Analelewa.

Jamaa hamkumuelewa vizuri, hizi apa ishara kadhaa za usimp;

Mwanamke akikukosea, unamchekea badala ya kumkemea.

Mmeplan kukutana saa 2, demu anafika saa 3, unasmile tu kama jinga.

Mpo hotelini unaulizwa utakula nini, unamgeukia demu wako - Tule nini?,
Mwanaume inatakiwa uwe na maamuzi, yeye ndiyo afanye kukataa siyo wewe ufanyiwe hadi maamuzi madogo kama chakula.

Umeombwa elfu 5, unatuma elfu 10, ilimradi umfurahishe, Huoni mwanamke ataona wewe ni simple kuchukua pesa zako.
Ukiombwa elfu10 tuma Elfu8 hata kama unayo hiyo Elfu10 sometimes unasema huna au unasema una buku3 tu.. HA!HA!HA

Jamaa zako wakikuambia huyo demu ni jau au anakuzunguka, hata hufikirii unawablock fasta - unawablock mpaka Email.

Anapost picha ya man mwingine anaandika (miss you), unamuuliza ni nani huyo anakujibu “....... unawivu mi nachukia.”
Badala ya kujiongeza kumpiga chini chap, unamjibu "Usijali sikumaanisha hivyo.”

Unamtumia SMS 5, anajibu moja kwa kifupi, unaamua kumtakia usiku mwema anajibu Tanx halafu na kesho yake unamtafuta.

Unashika handbag yake mkiwa barabarani kama houseboy.

Anasema amewachoka wanaume wote, unamwambia mimi niko tofauti huku unajaribu kuiga vibes za waigizaji wa movie ili uonekane special.

Kila anapotaka kwenda mahali unajitolea kumsindikiza ili upate nafasi ya kuteka feelings zake, na kila akisimulia huzuni zake, wewe ni mpole tu au unalengwa na machozi kama daktari wa hisia.
 
Sahihi kabisa na ndio maana tunatoa elimu hapa wajue kuwa wanakosea.
 
Kama na hapa hawataelewa basi nitaamini uchawi upo na una nguvu sana.
 
Sahihi kabisa na ndio maana tunatoa elimu hapa wajue kuwa wanakosea.
Infact, nimeipenda hii mada kaka.
Nimekumbuka past days before Sijaoa.

Niliwahi kudate na somebody of High Standards bhasi kuna siku nilizingua kiasi chake, nikajaribu kufeel sorry na kuexplain lakini bado haikuwork.
Siku mbili hakuna story.

Jioni yake akanitishia kuniacha may be sababu alikua anaamini kwa viwango vyake Lazima nitajibebisha, Mi nikamnyookea tu straight - "As long as nimeshafeel sorry but you can’t understand, huwezi ku control akili yangu kwa vitisho vya kuniacha, You’re free to go."
SIkuwahi mtafuta untill alikuja kutaka turudiane but She was too late.

Mimi si mzungumzaji sana, lakini zaidi ni mwandishi.
Japo nikitupia unit zangu 2–3 za alcohol, naanza kugeuka kama Okot p’Bitek.

Nice to meet you bro.
Ibn Unuq
 
Comment yangu nilikuwa namuunga mkono niliyemquote kwa kurefer mjadala wangu na watu back humu.. Haikuwa inahusiana na mada ya Zemanda.

Kuhusu simping nilishaeleza humu… Mtazamo wangu binafsi na kimantiki hiko mtakokiita simp.
 
Kusingekuwa na malalamiko yote haya yanayoendelea kuwa wanawake tumekengeuka.
 
Amen to that. Umefanya vema na brotherhood is proud of you umewakilisha kiume zaidi.
 
Comment yangu nilikuwa namuunga mkono niliyemquote kwa kurefer mjadala wangu na watu back humu.. Haikuwa inahusiana na mada ya Zemanda.

Kuhusu simping nilishaeleza humu… Mtazamo wangu binafsi na kimantiki hiko mtakokiita simp.
Usiseme hiko mnnachokiita Simp.
Tumia Simp moja kwa moja bila kulegeza maneno.
Kwasababu a Simp is a Simp hata atetewe vipi ni Simp tu.
 
Usiseme hiko mnnachokiita Simp.
Tumia Simp moja kwa moja bila kulegeza maneno.
Kwasababu a Simp is a Simp hata atetewe vipi ni Simp tu.
Ukitaka kujua simps ni mtaji wa wanawake na wanafurahia kuwaona tazama namna wanavyojaribu kuonyesha kuwa hakuna shida ya mwanaume kuwa simp.
 
Ukitaka kujua simps ni mtaji wa wanawake na wanafurahia kuwaona tazama namna wanavyojaribu kuonyesha kuwa hakuna shida ya mwanaume kuwa simp.
Wanawake wanapenda wakikaa kwenye mikutano yao wajadili na kucheka sana kuhusu ujinga wa Simps walionao.
 
Wanawake wanapenda wakikaa kwenye mikutano yao wajadili na kucheka sana kuhusu ujinga wa Simps walionao.
Wanawake hawana best interest na simps,wanawatumia kama daraja la maisha.
 
Upo sahihi kiongozi vijana huku wanatumika vibaya.
Vijana Wanabebeshwa majukumu ya mume wakati ni mahusiano tu.

Wanakuja kupgwa butwaa bint akiolewa na wanaume wa ukweli.
 
Upo sahihi kiongozi vijana huku wanatumika vibaya.
Vijana Wanabebeshwa majukumu ya mume wakati ni mahusiano tu.

Wanakuja kupgwa butwaa bint akiolewa na wanaume wa ukweli.
Wachache wanaelewa wengi wameshashikwa na huu mfumo wa kuishi hadi wanajiona ni kawaida tu masikini ya MUNGU kumbe wanatumika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…