Tuwatokomeze ma'simp hawatuwakilishi wanaume hata kidogo

Unamaanisha na Azizi kii Au😁
 
Unamaanisha na Azizi kii Au😁
Good example. Aziz Kii ni simp wa wazi kabisa. Pesa itakubadilishia maisha ila hitakubalisha kutoka kuwa looser kuwa mjanja. Aziz Kii ni looser. Simp.
 
Simp lingine hili hapa, linatetea ujinga
 
Keep on preaching, Reverend Zemanda.
 
Kibinadamu ni haki ya yeyote kuwa Simp.
Lakini,
Ulimwengu ni katili kwa wanaume masimp.

Sijui ni katika situation gani Simp anakuwa katika winning side!!
But I know a lot of successful SIMPs OUTER HERE.

😀 Nawajua undercover Simps pia
They are playing nice until they smash.
 
Shids
Shida ya kuwa simp si kwamba hautafanikiwa kimaisha au kupiga ukuni mademu. Ila hautafanikiwa kumuweka mwanamke ndani ya himaya yako na yeye akakupenda ile ya moyoni.

Atakutumia au atatumia mali zako tu ila hautakuwa mwanaume chaguo lake.

Ndio maana ma'simp wengi ni watumwa kwenye ndoa na mahusiano. Mwanamke anataka afanye vile anataka na atampelekesha simp hadi anyooke. Mwisho wa mahusiano kwa simp huwa ni maumivu na kifo. Hakuna reward ya kuwa simp zaidi ya maumivu na umauti.

Baba na babu zetu wanazikwa mapema sababu ya kuwa usimp.
 
Mkuu
Upo sahihi sana.

Niliamua kuvaa viatu vya simp ili nione mema ya kuwa simp.

Mwisho wa siku nimegundua.

Hali ya kuwa simp mkuu
Kwa namna moja au nyingine kila mwanaume amepitia situation ya kuwa simp.

Maoni yangu.
Kuna haja ya kurudisha utaratibu wa kuwafundisha watoto How to be a man.
SI rahisi kuwa mwanaume.

Kuna haja yakuongeza kwenye syllabus za mashuleni somo la relationship skills.
Kwasababu ni simple basic relationship skills Zinaweza zikakufanya utambue value yako kama mwanaume, kuwa mwanaume unahitaji kuheshimiwa na pia mwanaume hupaswi kuwa submissive kwa kiumbe chochote kile.

Mtu mzima ambaye ni simpi.
Ni mwanaume ambaye amekuwa fu**kd up deep down to the core.
Si rahisi kumbadilisha.

Man!
Viwanda vinavyozalisha masimp vinajulikana😂.

Damn bro!
Hebu tusiwasanue tuwaache.
Life linanoga tukiendelea kubaki hivi tulivyo

Panachangamka kukiwa na emotional feminine men.
Sasa mkuu kila mtu akiwa sigma itakuwaje?
Itabidi alpha wawepo na ma nice guys wakutosha Dunia ichangamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…