Tuwe makini Makanisa yalichangia mauaji ya kimbari Rwanda

kataa babu bibi mama zako sasa kama hao hawakukupa dira na hukusoma historia ukafanyia mtihani huko shule mimi nakuwacha....
Ndio hivyo si lazima niendene nao, pls hawahusiki kwenye hii mada.

Dozi ya kanisa iko pale pale
 
Kweli kabisa, halafu hawakuanza leo.
View attachment 3310832

Mmeanza ni Vipropaganda vyenu. Kinachodsiwa ni uchaguzi wa huru na haki. Period.

Huko Sudan hakuna kanisa katoliki. Somalia hakuna Kanisa Katoliki. CCM badala ya kutafuta sababu zisizo na mashiko wakubali tu tufanye Chaguzi za huru na haki. Nchi haifaidiki chochote kwa Chaguzi wanazoziendesha.
 
Kauli hizo ..uchochezi huo mnaowasifia walichangia mauji ya kimbari Rwanda hivyo kama nchi tuwe makini na uchochezi toka viongozi wa dini!....
Mnatengeza mifumo kandamizi ya uchaguzi eti watu wanyamaze kunyamaza siyo amani naweza kunyamaza kwakupenda mwenyewe lakini wengine hunyamazishwa

Kunyamaza ni kusalimu amri majukumu ya kijamii



Silence surrenders public responsibilities
 
Kauli hizo ..uchochezi huo mnaowasifia walichangia mauji ya kimbari Rwanda hivyo kama nchi tuwe makini na uchochezi toka viongozi wa dini!....
Sio makanisa yote, sema kanisa la Roman Katoliki
 
Kauli hizo ..uchochezi huo mnaowasifia walichangia mauji ya kimbari Rwanda hivyo kama nchi tuwe makini na uchochezi toka viongozi wa dini!....
Mauaji ya Tanzania yata changiwa na watawala na vyombo vya dola.
 
Kauli hizo ..uchochezi huo mnaowasifia walichangia mauji ya kimbari Rwanda hivyo kama nchi tuwe makini na uchochezi toka viongozi wa dini!....
Ni kweli, ila kwa hapa kwetu ccm ndio italeta mauji ya kimbari. kanisa hapa limeamua kuhimiza haki ili kuepusha mauji ya kimbari.
 
Aisee! Wewe ni hatari! Unajielewa sana na unajua mengi sana, lakini misukule na machawa hawaelewi chochote! Rubbish kabisa!
 
Maskofu wachocheza hawa
 

Attachments

  • 4eb7006dd5a63d198abed52e6678fa0a_1745044097957.mp4
    1.2 MB
Maaskofu wachochez hawa
 

Attachments

  • b4007edde2db17513c890179e76a6869_1744853064222.mp4
    1.7 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…