Tuwe makini na watu tunaokuwa nao kwenye mahusiano

Katika kitu kingine ambacho huwa sikielewi ni mtoto wa kiume kuvaa kinjunga kinachowacha wazi mapaja nje na masikioni kuvaa hereni na mkononi kuvaa kacha zile za rainbow au bendera ya tz n kenya...aisee huwa nawaona kama mashoga tu.
Kuna siku nimekutana na shemeji yangu mmoja kapiga kipensi kifupi kuliko boxer.
Niliona aibu mimi😅😅😅
 
Acheni izinzi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…