Tuwe makini na watu tunaokuwa nao kwenye mahusiano

Tuwe makini na watu tunaokuwa nao kwenye mahusiano

Wewe.
Hali ni mbaya mno kiumeni.
Yaani hivi karibuni nilionyeshwa mijitu ninayoiheshimu na midume haswa kwa macho kumbe tindo zinawahusu nilichoka
Poleni sana timu ya kiumeni
 
Nimeacha kabisa.
Mungu anisimamie, nimepoteza sana pesa kwa uzinzi,,,,sitaki tena
Wengine tumezalisha huko nje, gharama za matunzo bado zinaendelea mkuu
 
Nilinusurika kubambikiwa mtoto kumbe alikuwa anachaguliwa baba hahaha.
Nasema nimeacha hakika
Inabidi kuwa mbali na vishawishi, la sivyo ukiona msambwanda hatari, lazima shetani ashinde
 
Vizinga, kuonga na kununua mbususu hizi mambo hazijawahi kumwacha salama mwanamume mzinzi, usipokuwa makini haufikii malengo yako uliyojiwekea
Hatari sana, pesa inakuwa inatoka kwa spidi kubwa kuliko unavyoipata
 
Back
Top Bottom