Tuwe makini na watu tunaokuwa nao kwenye mahusiano

Lakini wanasema wanaume wote wakiguswa huko ni wanapata raha (msisimko) so ni it’s either haijaguswa au kama umeguswa basi hujaguswa vizuri na wanasema hilo halihusiani kabisa na ush*ga
Mimi huwa natoa ilani kabisa kuwa ni maeneo matano tu anaruhusiwa, 1) mdomo kwa kupeana mate, 2) garden love. 3) mbupu, 4) mb****o yenyewe. 5) ni mgongoni tena tukiwa tumekumbatiana au tupo missionary. Maeneo mengine ni strictly probihited.
 
Njoo tumtukuze Mungu kaka.
Huko chini hakuna maajabu.🤣🤣🤣
Mie nimefunua za kizungungu na mataifa mengine hata weusi tii hakuna jipya niamini.
Lakini kumcha Mungu kwaleta amani ya moyo
Kwa hiyo mwanetu umeacha kuchakata mbususu? 🤣🤣🤣

Kule kutamu nisidanganye siwezi kuacha ngoja tuangalie angalie miaka ya mbeleni huko
 
Njoo tumtukuze Mungu kaka.
Huko chini hakuna maajabu.🤣🤣🤣
Mie nimefunua za kizungu na mataifa mengine hata weusi tii hakuna jipya niamini.
Lakini kumcha Mungu kwaleta amani ya moyo
Tatizo na huko mnatupiga sana hela zetu za chenji
 
Unakuwa unasubiri kwenda kwa baba; kipindi hicho hela si kitu
Nilikuwa nataka niseme hiyo kitu unaweza ukawa na pesa lakini hauwezi kuzitumbua, hauwezi kwenda viwanja, marafiki zako wengi wanakuwa wameshakufa, matatizo mengine ya uzee hata uwe na pesa hayatibiki, huenda kama ni mwanamume mke alishakufa, watoto wote wameshaondoka nyumbani wameanza maisha yao.

Maisha ya uzee ya upweke sana bora tu kula bata nguvu ukiwa nazo
 
Kwa hiyo mwanetu umeacha kuchakata mbususu? 🤣🤣🤣

Kule kutamu nisidanganye siwezi kuacha ngoja tuangalie angalie miaka ya mbeleni huko
Iko hivi nitampenda mtoto wa mtu mmoja tu.
Na najua kupenda hatari.
Nikiwa mkweo mbona utafurahi?🤣🤣🤣

Bro. Uzinzi mbaya.
Kuna siku naongea na miss wa mkoa flani na alinichenga siku kadhaa.
Si akalogwa akampa mamake simu?
Eti msalimia maza.

Akanipa bhana.
Tukasalimiani nilinavyojua kujishusha sasa.

Akaniuliza mwanangu uko mkoa gani unaongea vizuri hivyo🤣.

Nikamtajia...akauliza utakuja lini kumsalimia mwenzako?

Nikamwambia ntakuja mamangu but ninaombi kwako.

Nini tena mwanangu?

Namuomba miss aje kunisalimia nimemiss nampenda sana🤣

Maza oooh kweli mwanangu?
Aje lini?
Mimi..kesho mamangu.
Mama ...anakuja🤣🤣

Huoni nilifika pabaya?

Mungu amenitoa mbali
 
Nilikuwa nataka niseme hiyo kitu unaweza ukawa na pesa lakini hauwezi kuzitumbua, hauwezi kwenda viwanja, marafiki zako wengi wanakuwa wameshakufa, matatizo mengine ya uzee hata uwe na pesa hayatibiki, huenda kama ni mwanamume mke alishakufa, watoto wote wameshaondoka nyumbani wameanza maisha yao.

Maisha ya uzee ya upweke sana bora tu kula bata nguvu ukiwa nazo
Suluhisho hapa, kama uwezo unaruhusu, unatengeneza empire, kizazi chako hakuna kuondoka nyumbani
 
ha ha ha juzi nimemtimua mmoja hapa, hela haikai; matumizi makubwa balaa, mara hela ya kope, mara ya kucha; nikaona hapa naukaribisha umasikini wakujitakia.
Bro ukiwa mzinzi wewe ni fukara.
Unaamka asubuhi unakutana na text 5 wote wanataka pesa.
Sitarudi huko haha.

Siku hizi hata simu yangu imeokoka🤣
 
Iko hivi nitampenda mtoto wa mtu mmoja tu.
Na najua kupenda hatari.
Nikiwa mkweo mbona utafurahi?🤣🤣🤣

Bro. Uzinzi mbaya.
Kuna siku naongea na miss wa mkoa flani na alinichenga siku kadhaa.
Si akalogwa akampa mamake simu?
Eti msalimia maza.

Akanipa bhana.
Tukasalimiani nilinavyojua kujishusha sasa.

Akaniuliza mwanangu uko mkoa gani unaongea vizuri hivyo🤣.

Nikamtajia...akauliza utakuja lini kumsalimia mwenzako?

Nikamwambia ntakuja mamangu but ninaombi kwako.

Nini tena mwanangu?

Namuomba miss aje kunisalimia nimemiss nampenda sana🤣

Maza oooh kweli mwanangu?
Aje lini?
Mimi..kesho mamangu.
Mama ...anakuja🤣🤣

Huoni nilifika pabaya?

Mungu amenitoa mbali
Hiyo inaitwa kupewa jumla jumla
 
Nilikuwa nataka niseme hiyo kitu unaweza ukawa na pesa lakini hauwezi kuzitumbua, hauwezi kwenda viwanja, marafiki zako wengi wanakuwa wameshakufa, matatizo mengine ya uzee hata uwe na pesa hayatibiki, huenda kama ni mwanamume mke alishakufa, watoto wote wameshaondoka nyumbani wameanza maisha yao.

Maisha ya uzee ya upweke sana bora tu kula bata nguvu ukiwa nazo
Bata hazina shukrani Mungu.
Tafuta amani ya moyi...
MUNGU
 
Iko hivi nitampenda mtoto wa mtu mmoja tu.
Na najua kupenda hatari.
Nikiwa mkweo mbona utafurahi?🤣🤣🤣

Bro. Uzinzi mbaya.
Kuna siku naongea na miss wa mkoa flani na alinichenga siku kadhaa.
Si akalogwa akampa mamake simu?
Eti msalimia maza.

Akanipa bhana.
Tukasalimiani nilinavyojua kujishusha sasa.

Akaniuliza mwanangu uko mkoa gani unaongea vizuri hivyo🤣.

Nikamtajia...akauliza utakuja lini kumsalimia mwenzako?

Nikamwambia ntakuja mamangu but ninaombi kwako.

Nini tena mwanangu?

Namuomba miss aje kunisalimia nimemiss nampenda sana🤣

Maza oooh kweli mwanangu?
Aje lini?
Mimi..kesho mamangu.
Mama ...anakuja🤣🤣

Huoni nilifika pabaya?

Mungu amenitoa mbali
Kwa hiyo huyo miss alikuja kweli? Sema ulikuwa kiwembe sana hadi bimdashi unamwomba binti yake akufuate magetoni
 
Back
Top Bottom