Tuwe makini na watu tunaokuwa nao kwenye mahusiano

Tuwe makini na watu tunaokuwa nao kwenye mahusiano

Inabidi kuwa mbali na vishawishi, la sivyo ukiona msambwanda hatari, lazima shetani ashinde
Wanaume tuna kazi sana unatoka lodge kuipelekea moto pisi njiani unaporudi unakutana na pisi nyingine nayo imefungashia unaitamani usuuze rungu.

Sijui wanaume wengine wanawezaje kuwa na mpenzi mmoja tu
 
Kwa mwanaume yeyote rijali ukomo wa kupapaswa/shikwa/chezewa kwenye maungo baina ya kiuno na mapaja ni mbupu basi..
Ukiona mkono unapelekwa kalioni, mstari wa chini ya mbupu na kwingine kokote tofauti na dudu yenyewe hakikisha unaruka kama umepigwa shoti na msonyo juu, akirudia piga bonge la kofi.

Ukiruhusu kushikwa shikwa tako elewa upo mbioni kushikwa mtaro na ukija kutahamaki ushatiwa dole. Uzungu tuwaachie wazungu. Mababu zetu walipiga kifo cha mende tu na maisha yalikuwa murua kabisa .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kumbukeni kuna watu humu wanapigwa riming, "sijui nimeandika ndivyo" ila wameelewa, na kutiwa kidole juu wanasema eti ni kawaida siku hizi. Sasa hayo yanakuja sasa!!
 
Wanaume tuna kazi sana unatoka lodge kuipelekea moto pisi njiani unaporudi unakutana na pisi nyingine nayo imefungashia unaitamani usuuze rungu.

Sijui wanaume wengine wanawezaje kuwa na mpenzi mmoja tu
Mchawi pesa, pesa inaongeza nguvu za kiume; ikipungua tu, na nguvu zinapungua
 
Mmm ni kujiendekeza tu mkuu, nilikuwaga kijana mzuri sana mtulivu na mchaji wa Mungu niliyeheshimika na jamii.

Niliwahi kushinda majaribio 3 ya kubakwa na mimama mikali balaa.

Sijui nini ilikuja kutokea... nikajikuta nimejichanganya sana na wadada warembo na nikawa kama chakula chao.
Yaani nikimtazama tu na nikimwalika popote na kumwambia hapindui.

Yaani nikawa kama nina sumaku mdomoni.
Nikawatafuna hawaswa...( sitasahau siku moja natakiwa na watatu kila mmoja anataka niwagonge masaa yanayofanana naongea na huyu mwingine simu inaita fujo tupu)

Ndipo nikagundua hapa sheta..amepiga kambi.

Baada ya hapo nikasema hapana nitakufa nikiwa kijana.

Nikasema ninamrudia Mungu.

Sijuti kuacha...nina amani sasa eeee
Ndivyo inavyotakiwa, kila kitu na wakati wake; kustaafu muhimu
 
Back
Top Bottom