Hivi shida yake nini bado anajitokezatokeza majukwaani! Basi akachukue fomu 2025 anadi sera zake agombee kama ameshindwa kutulia Msoga, tamaa nyingi kama mkewe, aibu!!Hakika Kikwete apewe haki yake.
Ameongea ukweli kuhusu SGR.
Salary Slip aliweka thread hapa JF mwaka 2013 JK akizungumzia mpango wa ujenzi wa SGR.
Ambaye hajajilimbikizia mali ni nani? Usitake watu wafunguke mengi ujue.jakaya legacy pekee ameacha ni majizi na utani. hakuna cha maana alichofanya zaidi ya kujilimbikizia mali.
Irrelevant example.Hakuna anayempa credit samia ktk mradi wa SGR,maana ameukuta tayar uko hatua nyingi za ujenzi,tutampongeza kwa kumalizia palipobakia.
Yeye mzaramo kama angekuwa mwaminifu angekumbuka pia hatukumnyima pongezi ktk BRT maana aliiacha iko miles kadhaa mbele.
Tutamkumbuka pia ktk shule za kata za sekondari hatuna hiyana.
Kama kupanga na kutekeleza ni jambo moja,panga kupata mtoto na mkeo,miezi 9 baadae azaliwe muhindi,ndio utaelewa.
Irrelevant example.Kama kupanga na kutekeleza ni jambo moja,panga kupata mtoto na mkeo,miezi 9 baadae azaliwe muhindi,ndio utaelewa.
Hata Nyerere aliweka mpango wa Stigglers Gorge na Makao Makuu DodomaHakika Kikwete apewe haki yake.
Ameongea ukweli kuhusu SGR.
Salary Slip aliweka thread hapa JF mwaka 2013 JK akizungumzia mpango wa ujenzi wa SGR.
Hiyo sentensi ya mwisho imenifikirisha sanaKutokana na kushindwa vibaya kwa utawala wale, inatosha kusema ALITAMANI, hakujaribu wala kuthubutu!
Hakuna asiyejua kuwa Mwalimu alipanga na kutamani kuhamia Dodoma...mnajua nini kilitokea.
Jakaya hana jema alilofanya kwa watanganyika.
Ndiye rais fisadi na wa hovyo sana kuliko wote.jakaya legacy pekee ameacha ni majizi na utani. hakuna cha maana alichofanya zaidi ya kujilimbikizia mali.
π€£π π Amini nimeondoka kitini kwa kicheko,ππ π€£Na kucheka Cheka kama kahaba
Acha akili za zamani. Unaelewa maana ya utandawazi? Ulitaka waongee wa Mkoa gani ndio ujue wanajua?Ifike hatua tuwe na adabu,
Jakaya kikwete ndio Rais mstaafu tuliyenaye, huyu ni msaada Kwa nchi yetu, angeamua kua kama uhuru anaweza lakini katulia na amebaki akiambiwa panda pikipiki wala hajali,
Nawapa hizi dondoo chache, fedha za SGR hadi dodoma aliacha ametafuta Jakaya, ile kijazi interchange alitafuta jakaya, tena magufuli akavuruga ramani, ilikua ni bonge la kitu,
Upanuzi wa barabara kimara hadi mile moja fedha alitafuta jakaya, daraja la tanzanite pesa aliacha jakaya,
Jakaya kawa muwazi kua mipango ilianza Kwa mkapa, akaihanikiza, magufuli kaisimamia, kosa lake ni lipi?
Nchi haijengwi na mtu mmoja, nchi inajengwa Kwa kupokezana, uongozi ni mbio za vijiti ni kupokezana huyu anakimbia hadi hapa na mwingine hadi kule.
Viongozi wetu wana mazuri na mabaya yao na kila mmoja anakitu alifanyia nchi yake tuwe na heshima,