Tuwe na akiba ya maneno kuhusu IGA na DP World

Tuwe na akiba ya maneno kuhusu IGA na DP World

Ina maana wewe mjinga, ukienda kununua kiwanja, unamuacha mwanasheria ba Muuzaji wakuandikie vifungu husomi na kuelewa?

Ina maana ukinunua kiwanja, mle ndani wakasema unadaiwa bado 10m, na wewe umeshalipa hela zote, hutaelewa unatapeliwa mpaka mwanasheria?

Hizi akili za kuvukia barabara tabu sana...
Kwamba kuna nchi au mtu anaweza kununua nchi nyingine?
 
Mie nimependa tu tumemtikisa kidogo maana angetawala raha mustarehe angedharau ma Rais wanaume wenzetu maana tangu kaingia madarakani makundi yote yalikuwa iyena iyena wakati wenzie wote walitikiswa sana
 
20141018_MAP004_0.jpg

Tafakari Kidogo.
Nakuhakikishia utapa akiba ya maneno.
 
Basi tu tumezaliwa nao huo ujinga, nisamehe mimi kwa niaba ya wajinga wenzange mwerevu
Yaani uende ukanunue nchi inayokaliwa na watu zaidi ya milioni 60 kwa kipande cha karatasi (mkataba) kwa kuwarubuni viongozi wachache, nani anaweza ku-bear hiyo risk? A conscious businessman. Tufikiri kwa vituo

Tanzania ni nchi ambayo haiaminiki, kila uongozi unapobadilika wanazingua wawekezaji, nani anayeweza ku-bear hiyo risk?
 
Hiyo kununua nchi ni lugha ya picha tu. Hoja hapa keki ya nchi kuliwa na kikundi kidogo
 
Fasta fasta pia inatia mashaka. Jielize kwa nini na wao wakomae. Halafu hili jambo walilificha mwanzo, lilipokuja kuvuja ndio zakaja hizi hekaya. Halafu kwa nini wanunue machawa na wapambe?
Lazima tuwe efficient, tunataka mambo yaende taratibu, bureaucracy nyingi ndiyo tuna ridhika?
 
Acheni uoga
Hakuna anyewaogopa.
Nkuki kwa Nkuki
Ujifunze kuheshimu watu....na Ukome Kuwatukana kabila la Wasukuma kupitisha ajenda yenu inayomkwamisha SSH manake hajui ni yupi wa ku trust. Mmedanganya kuwa kuna hilo kundi ndani yake na amekimbia kwa Wajomba.....na badala ya Kumsaidia na kumwambia ukweli mnaendeleza mipasho yenu...sasa mle hio sanity
 
Hiyo kununua nchi ni lugha ya picha tu. Hoja hapa keki ya nchi kuliwa na kikundi kidogo
Mkuu, hizo ni unfounded fear of unknown. Watu wana hisi vitu ambavyo pengine havipo. Serikali inatakiwa kuwa wazi na kutoa taarifa rasmi kuondoa hizi sintofahamu na taharuki
 
Hakuna anyewaogooa.
Nkuki kwa Nkuki
Ujifunze kuheshimu watu....na Ukome Kuwatukana kabila la Wasukuma kupitisha ajenda yenu inayomkwamisha SSH manake hajui ninyupi wa ku trust. Mmedanganya kuwa kuna hilo kundi ndani yake na amekimbia kwa Wajomba.....na badalabl ya Kumsaidia na kumwambia ukweli mnaendeleza mipasho yenu...sasa mle hio sanity
Ukuma gang
 
Back
Top Bottom