Huu mjadala unataka matumizi ya akili, it is not for everyone
Sasa mbona wewe hujatumia akili umetumia hisia halafu unasisitiza wengine watumie akili?
Kwanza umeunga mkono uuzwaji wa bandari kwa hisia kwamba mwanamke hawezi kutuuza, huna fact
Umetumia hisia na mihemko,
wenye akili wanauchambua mkataba na vifungu vyake, wanaonesha kipi kibaya na kipi chema, wanaupinga kwa facts, na hiyo ndio akili.
Unasema mwanamke hawezi kutuuza kwasababu tu ni mwanamke hivi uko sawa?
Aliyemshawishi Adam kula tunda ni mwanamke
Aliyemuua Samson ni mwanamke
Aliyegeuka nyuma na kuwa jiwe la chumvi ni mwamke
Aliyemfunga Yusuph gerezani baada ya kukataa kulala naye ni mwanamke
Wanaotupa watoto mtaani baada ya kuzaliwa ni wanawake
Ni ujinga na ulimbukeni kuamini kwamba kwakuwa mtu ni mwanamke au ni Rais basi hakosei.
Rais ametukosea sana, ametudhalilisha sana, ametudharaulisha sana, ametuvua nguo kwa kusaini mkataba wa kijinga na wenye masharti ya kitumwa, hatuna imani naye kamwe.
AJIUZULU!