Tuwe na akiba ya maneno kuhusu IGA na DP World

Wasalaam wana zengwe

Hili suala la IGA na DP World limeleta mijadala mingi na kauli nyingi kinzani, gombeshi na chongeshi.

Ata mimi nimeandika nyuzi hii ikiwa ya tatu, lakini yote ikiwa katika kuchakata uhalali na ukubalifu wa IGA na DP World.

Kitu kikubwa ambacho bado naamini kina tunza utimamu wa mijadala na akili ni kuwa na akiba ya maneno,

Napata shida sana kuamini kwamba huyu kiongozi aliyerudisha sanity kwenye admnistration ya nchi na kuruhusu haki na uhuru wa wananchi kutamalaki, awe na nia ovu kubwa kama hii ya kuuza nchi.

Kwangu mimi, mama ni kielezo cha usalama wa familia, ni nadra sana kukuta mama akikengeuka na kuhatarisha usalama wa familia. Kwa mantiki hiyo, bado ninamuamini S.S.H.

Hakika, wasi wasi ni akili, ila ushauri wangu ni kwamba mijadala ifanyike kwa kuzingatia matumizi makubwa ya akili na si hisia. Ni muhimu pia kuwa na akiba ya maneno, haswa kwa viongozi wakubwa wa kitaifa kwani wanaweza kuleta sintofahamu na taharuki.

Tumpe nafasi, S,S. H afanye kazi alafu tumuhukumu baadae.

Ieleweke kwamba, hii inchi inataendelea kuwa yetu na bandari zitaendelea kuwa zetu ata kama kuna mtu au kikundi cha watu watajidanganya kuuza au kununua.

Hakuna atakayeweza kuondoka ata na millimetre moja ya mraba ya ardhi yetu tukufu. Tuache kuwa na unfounded fear of unknown.

Hoja hupingwa na hoja iliyo bora zaudi, jiratibu.

tunachohitaji, ni terms and conditions in the contract ziwe fair. na wakija hapa wanakuja kama wawekezaji, hawaji kutusaidia,
 
That's it!
Na huu ujinga wa kufanya makosa na kujificha kwenye kivuli cha "mwanamke" sijui "mama" ni lazima ukome mara moja.
 
Wasalaam wana zengwe

Hili suala la IGA na DP World limeleta mijadala mingi na kauli nyingi kinzani, gombeshi na chongeshi.

Ata mimi nimeandika nyuzi hii ikiwa ya tatu, lakini yote ikiwa katika kuchakata uhalali na ukubalifu wa IGA na DP World.

Kitu kikubwa ambacho bado naamini kina tunza utimamu wa mijadala na akili ni kuwa na akiba ya maneno,

Napata shida sana kuamini kwamba huyu kiongozi aliyerudisha sanity kwenye admnistration ya nchi na kuruhusu haki na uhuru wa wananchi kutamalaki, awe na nia ovu kubwa kama hii ya kuuza nchi.

Kwangu mimi, mama ni kielezo cha usalama wa familia, ni nadra sana kukuta mama akikengeuka na kuhatarisha usalama wa familia. Kwa mantiki hiyo, bado ninamuamini S.S.H.

Hakika, wasi wasi ni akili, ila ushauri wangu ni kwamba mijadala ifanyike kwa kuzingatia matumizi makubwa ya akili na si hisia. Ni muhimu pia kuwa na akiba ya maneno, haswa kwa viongozi wakubwa wa kitaifa kwani wanaweza kuleta sintofahamu na taharuki.

Tumpe nafasi, S,S. H afanye kazi alafu tumuhukumu baadae.

Ieleweke kwamba, hii inchi inataendelea kuwa yetu na bandari zitaendelea kuwa zetu ata kama kuna mtu au kikundi cha watu watajidanganya kuuza au kununua.

Hakuna atakayeweza kuondoka ata na millimetre moja ya mraba ya ardhi yetu tukufu. Tuache kuwa na unfounded fear of unknown.

Hoja hupingwa na hoja iliyo bora zaudi, jiratibu.

Ni kweli akina mama ni waaminifu na Wana huruma ndio maana hata Mungu akaona ni vyema binadamu wote kabla hawajafika duniani ni lazima wakae kwenye tumbo la mwanamke kwanza.

Ila kuna nasaha kwenye maandiko ya wahenga/Manabii kwamba "haitengemai ile jamii ambayo jambo lao la juu kabisa la uongozi wamemwachia mwanamke".
Hivyo, tuwe makini sana na nasaha hii ya Manabii.
 
Hisia ni nyingi kuliko uhalisia
 
Wasalaam wana zengwe

Hili suala la IGA na DP World limeleta mijadala mingi na kauli nyingi kinzani, gombeshi na chongeshi.

Ata mimi nimeandika nyuzi hii ikiwa ya tatu, lakini yote ikiwa katika kuchakata uhalali na ukubalifu wa IGA na DP World.

Kitu kikubwa ambacho bado naamini kina tunza utimamu wa mijadala na akili ni kuwa na akiba ya maneno,

Napata shida sana kuamini kwamba huyu kiongozi aliyerudisha sanity kwenye admnistration ya nchi na kuruhusu haki na uhuru wa wananchi kutamalaki, awe na nia ovu kubwa kama hii ya kuuza nchi.

Kwangu mimi, mama ni kielezo cha usalama wa familia, ni nadra sana kukuta mama akikengeuka na kuhatarisha usalama wa familia. Kwa mantiki hiyo, bado ninamuamini S.S.H.

Hakika, wasi wasi ni akili, ila ushauri wangu ni kwamba mijadala ifanyike kwa kuzingatia matumizi makubwa ya akili na si hisia. Ni muhimu pia kuwa na akiba ya maneno, haswa kwa viongozi wakubwa wa kitaifa kwani wanaweza kuleta sintofahamu na taharuki.

Tumpe nafasi, S,S. H afanye kazi alafu tumuhukumu baadae.

Ieleweke kwamba, hii inchi inataendelea kuwa yetu na bandari zitaendelea kuwa zetu ata kama kuna mtu au kikundi cha watu watajidanganya kuuza au kununua.

Hakuna atakayeweza kuondoka ata na millimetre moja ya mraba ya ardhi yetu tukufu. Tuache kuwa na unfounded fear of unknown.

Hoja hupingwa na hoja iliyo bora zaudi, jiratibu.

Ni kweli hakuna atakayeondoka na hata Mita ya mraba moja, Ila tatizo ni kuwa, hiyo Mita moja ya mraba unapokuwa huna maamuzi nayo, hunufaiki nayo, hitakiwi hata kuikanyaga licha ya kwamba ni yako, itakuwa na kazi gani? Mfano wa ya Afrika ya kusini, rasilimali, utajiri unahidhiwa na wazungu, weusi ndio nao ni nchi yao, ila haiwafaidii lolote, kipi bora? Rais apewe muda, mambo ya kisheria haya, ukishaingia, umeingia kutoka ni mbinde na gharama lukuki, nani atakayelipa?
 
Nani kakudanganya ardhi ya bara la Africa ni exclusive kwa ajili ya mtu mweusi? Watu weupe wa SA wameenda kule 16th Century wakati babu zake malema wanacheza tumba. They rightfully acquired land na waka invest.
 
How rightfully ndugu?
 
Sijui kama unajua kinachopigwa? Mara kamali mara waarabu. Kamwambie awe na focus na consistency. Tunapinga mkataba na jinsi DPW alivyopatikana sio uboreshaji wa bandari.
Kesi ipo mahakamani, kama mmekula hela rudisheni
Hakuna tunachopigwa, ulimaikiliza Possy ametoa ufafanuzi mzuri kwenye hili jambo
 
Ndio maana kuna mtu kakujibu hapo juu kwamba hujielewi.
Utaboreshwaje wakati umeshapitishwa na wabunge vilaza
Kwa hivyo ukishapitishwa unakua biblia au msahafu? Jiongeze kidogo basi, ujinga ni mwingi sana
 
Wewe jamaa ndio mjinga wa mwisho, sasa utaboreshaje kitu ambacho umeshakipitisha kwamba kipo sahihi.
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Wasalaam wana zengwe

Hili suala la IGA na DP World limeleta mijadala mingi na kauli nyingi kinzani, gombeshi na chongeshi.

Ata mimi nimeandika nyuzi hii ikiwa ya tatu, lakini yote ikiwa katika kuchakata uhalali na ukubalifu wa IGA na DP World.

Kitu kikubwa ambacho bado naamini kina tunza utimamu wa mijadala na akili ni kuwa na akiba ya maneno,

Napata shida sana kuamini kwamba huyu kiongozi aliyerudisha sanity kwenye admnistration ya nchi na kuruhusu haki na uhuru wa wananchi kutamalaki, awe na nia ovu kubwa kama hii ya kuuza nchi.

Kwangu mimi, mama ni kielezo cha usalama wa familia, ni nadra sana kukuta mama akikengeuka na kuhatarisha usalama wa familia. Kwa mantiki hiyo, bado ninamuamini S.S.H.

Hakika, wasi wasi ni akili, ila ushauri wangu ni kwamba mijadala ifanyike kwa kuzingatia matumizi makubwa ya akili na si hisia. Ni muhimu pia kuwa na akiba ya maneno, haswa kwa viongozi wakubwa wa kitaifa kwani wanaweza kuleta sintofahamu na taharuki.

Tumpe nafasi, S,S. H afanye kazi alafu tumuhukumu baadae.

Ieleweke kwamba, hii inchi inataendelea kuwa yetu na bandari zitaendelea kuwa zetu ata kama kuna mtu au kikundi cha watu watajidanganya kuuza au kununua.

Hakuna atakayeweza kuondoka ata na millimetre moja ya mraba ya ardhi yetu tukufu. Tuache kuwa na unfounded fear of unknown.

Hoja hupingwa na hoja iliyo bora zaudi, jiratibu.

Hoja nyepesi mno. Unajua watu wanatofautiana kwenye vitu mbalimbali.

Mmoja kwake uhuru wa kuongea sio tatizo lakini unapokuja kwenye kuuza nchi anauza kama nyanya.

Mwingine uhuru wa kuongea mwiko na anachukia wawekezaji mno. Anawabana watendaji sana maofisini lakini yeye hana haki na huiba kwa njia kubwa kubwa. Mkataba upingwe.
 
Tafuta mahojiano ya naibu katibu mkuu, wizara ya uchukuzi, Possy kwenye kipindi cha dakika 45, amefafanua vizuri hili swala
 
Rightfully in every conceivable senses
Ni Yale ' cha kuokota si cha kuiba, mwenye Mali ndiye mjinga'.
Kama walitoka walikotoka kwenda nchi nyingine na kujitwalia, hiyo si haki, haijalishi wenyeji walikuwa wajinga kiasi gani.
Hata kwa suala letu, hapo tunatia sahihi, kama wananchi hatukushirikishwa, na hatujui tunaingizwa kwenye nini, hakupaswi kukaa kimya hata kama bandari haiendi popote bado iko Tz. Tunaona nini ya Umasaini, ardhi ipo pale pale, ila Wamasai wanatolewa na kuhamishwa.
 
Nani kakudanganya zamani kulikua na permanent settlement iliyowastahilisha claim of ownership ya land.

Hii dunia kila mtu ana haki ya kuishi popote na acquisition of land ilifanyika kwa namna yoyote ile pamoja na kushinda vita na kuchukua maeneo. Haya mambo formal yameeanza juzi juzi tu na sioni kwanini wajihisi wao ndiyo wana haki, hao watu weusi wa huko SA

Back
Top Bottom