Tuwe na akiba ya maneno kuhusu IGA na DP World

Hii dhana nzima ya IGA huielewi
Ninaielewa wewe Unataka kupotosha .
Kwenye hiyo IGA zinatakiwa serikali ndio zikubaliane kwenye hiyo nyaraka tumeisoma inaonyesha upande wa Tanganyika amesaini Rais na Waziri Kwa niaba ya serikali ila upande wa pili hajasaini Ruler of Dubai, Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum. wala waziri wake sasa hiyo utahiitaje ni Intergovernmental Agreement (IGA)?

Acheni kupotosha
 
Nani kakudanganya zamani kulikua na permanent settlement iliyowastahilisha claim of ownership ya land.

Hii dunia kila mtu ana haki ya kuishi popote na acquisition of land ilifanyika kwa namna yoyote ile pamoja na kushinda vita na kuchukua maeneo. Haya mambo formal yameeanza juzi juzi tu na sioni kwanini wajihisi wao ndiyo wana haki, hao watu weusi wa huko SA
Ni Yale ' cha kuokota si cha kuiba, mwenye Mali ndiye mjinga'.
Kama walitoka walikotoka kwenda nchi nyingine na kujitwalia, hiyo si haki, haijalishi wenyeji walikuwa wajinga kiasi gani.
Hata kwa suala letu, hapo tunatia sahihi, kama wananchi hatukushirikishwa, na hatujui tunaingizwa kwenye nini, hakupaswi kukaa kimya hata kama bandari haiendi popote bado iko Tz. Tunaona nini ya Umasaini, ardhi ipo pale pale, ila Wamasai wanatolewa na kuhamishwa.
 
Nani kakudanganya zamani kulikua na permanent settlement iliyowastahilisha claim of ownership ya land.

Hii dunia kila mtu ana haki ya kuishi popote na acquisition of land ilifanyika kwa namna yoyote ile pamoja na kushinda vita na kuchukua maeneo. Haya mambo formal yameeanza juzi juzi tu na sioni kwanini wajihisi wao ndiyo wana haki, hao watu weusi wa huko SA
Sawa, sasa turudi Tz yetu na hoja yako kuwa ardhi yoyote haichukuliwi kupelekwa popote hivyo WaTz tuwe na akiba ya maneno, rais asubiriwe mpaka hapo matokeo ya matendo yake yatakapotokea.
Nini kinawafaidishs Wamasai wa Loliondo, kuhamishwa kutoka ardhi yao na kwenda kubananishwa Handeni? Ardhi haihami ila wenye nchi ndio wanaondolewa, wawekezaji wana haki zaidi yao, mpaka kufikia kiwango cha kuuawa!
 
Wanyama mkuu, ni urithi wa dunia
 
Wasalaam wana zengwe

Hili suala la IGA na DP World limeleta mijadala mingi na kauli nyingi kinzani, gombeshi na chongeshi.

Ata mimi nimeandika nyuzi hii ikiwa ya tatu, lakini yote ikiwa katika kuchakata uhalali na ukubalifu wa IGA na DP World.

Kitu kikubwa ambacho bado naamini kina tunza utimamu wa mijadala na akili ni kuwa na akiba ya maneno,

Napata shida sana kuamini kwamba huyu kiongozi aliyerudisha sanity kwenye admnistration ya nchi na kuruhusu haki na uhuru wa wananchi kutamalaki, awe na nia ovu kubwa kama hii ya kuuza nchi.

Kwangu mimi, mama ni kielezo cha usalama wa familia, ni nadra sana kukuta mama akikengeuka na kuhatarisha usalama wa familia. Kwa mantiki hiyo, bado ninamuamini S.S.H.

Hakika, wasi wasi ni akili, ila ushauri wangu ni kwamba mijadala ifanyike kwa kuzingatia matumizi makubwa ya akili na si hisia. Ni muhimu pia kuwa na akiba ya maneno, haswa kwa viongozi wakubwa wa kitaifa kwani wanaweza kuleta sintofahamu na taharuki.

Tumpe nafasi, S,S. H afanye kazi alafu tumuhukumu baadae.

Ieleweke kwamba, hii inchi inataendelea kuwa yetu na bandari zitaendelea kuwa zetu ata kama kuna mtu au kikundi cha watu watajidanganya kuuza au kununua.

Hakuna atakayeweza kuondoka ata na millimetre moja ya mraba ya ardhi yetu tukufu. Tuache kuwa na unfounded fear of unknown.

Hoja hupingwa na hoja iliyo bora zaudi, jiratibu.

Mzanzibar aliuza loliondo kwa waarabu

Mzanzibari mwingkne akaja kuwaongezea eneo kubwa zaidi liliondo na kuwafukuza wakazi wa liliondo.. fedha zilizo tumika kuwajengea wamasai nyumba tanga inasemekana zilitoma UAE.

Mzanzibari tena anataka kuwapa waaarabu Tanganyika..

This is one of the worse experience .. amepuyanga

Sam
 
Wasalaam wana zengwe

Hili suala la IGA na DP World limeleta mijadala mingi na kauli nyingi kinzani, gombeshi na chongeshi.

Ata mimi nimeandika nyuzi hii ikiwa ya tatu, lakini yote ikiwa katika kuchakata uhalali na ukubalifu wa IGA na DP World.

Kitu kikubwa ambacho bado naamini kina tunza utimamu wa mijadala na akili ni kuwa na akiba ya maneno,

Napata shida sana kuamini kwamba huyu kiongozi aliyerudisha sanity kwenye admnistration ya nchi na kuruhusu haki na uhuru wa wananchi kutamalaki, awe na nia ovu kubwa kama hii ya kuuza nchi.

Kwangu mimi, mama ni kielezo cha usalama wa familia, ni nadra sana kukuta mama akikengeuka na kuhatarisha usalama wa familia. Kwa mantiki hiyo, bado ninamuamini S.S.H.

Hakika, wasi wasi ni akili, ila ushauri wangu ni kwamba mijadala ifanyike kwa kuzingatia matumizi makubwa ya akili na si hisia. Ni muhimu pia kuwa na akiba ya maneno, haswa kwa viongozi wakubwa wa kitaifa kwani wanaweza kuleta sintofahamu na taharuki.

Tumpe nafasi, S,S. H afanye kazi alafu tumuhukumu baadae.

Ieleweke kwamba, hii inchi inataendelea kuwa yetu na bandari zitaendelea kuwa zetu ata kama kuna mtu au kikundi cha watu watajidanganya kuuza au kununua.

Hakuna atakayeweza kuondoka ata na millimetre moja ya mraba ya ardhi yetu tukufu. Tuache kuwa na unfounded fear of unknown.

Hoja hupingwa na hoja iliyo bora zaudi, jiratibu.

Tumpe nafasi, S,S. H afanye kazi alafu tumuhukumu baadae.[emoji848]
Je IGA inaweza kufanyika kati ya taifa na jimbo? Au mkoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono mada.
 
Huyu ni mama Au ni raisi wa nchi hii ishu ya kumfichia maovu yake kwa kisingizio cha kumuita Mama ni ukosefu wa akili,Huyu kaamua tu kwa Makusudi kuuza bandari akitegemea kuna wajinga kama wewe kumtetea..Mwambie Tunataka babdari yetu kama kashakula hela za waarabu huko sisi haituusu tunataka Bandari watamalizana wao huko huko...Na umwambie sikio la kufa halisikii dawa kuna siku utatukuta hapo ikulu ya Chamwino au Magogoni.
 
Mama SSH..
Hata mimi naamini ana nia nzuri,..
Tatizo lipo kutokuelewaka kwa kilichopita bungeni.
Na wabunge hawakutumia muda wao kuijulisha jamii wao ni ndio mpaka wanapishana kauli..
Jambo hili ni kubwa,lilitakiwa lielezwe kwa upana wake..
Tuko na mama ila kuhoji kuelewa sio vibaya.
 
Hakika
 
ac120738-fd9c-470d-86b2-3d78ab3562dc.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom