Tuwe na akiba ya maneno kuhusu IGA na DP World

Kwamba kuna nchi au mtu anaweza kununua nchi nyingine?
 
Mie nimependa tu tumemtikisa kidogo maana angetawala raha mustarehe angedharau ma Rais wanaume wenzetu maana tangu kaingia madarakani makundi yote yalikuwa iyena iyena wakati wenzie wote walitikiswa sana
 
Basi tu tumezaliwa nao huo ujinga, nisamehe mimi kwa niaba ya wajinga wenzange mwerevu
Yaani uende ukanunue nchi inayokaliwa na watu zaidi ya milioni 60 kwa kipande cha karatasi (mkataba) kwa kuwarubuni viongozi wachache, nani anaweza ku-bear hiyo risk? A conscious businessman. Tufikiri kwa vituo

Tanzania ni nchi ambayo haiaminiki, kila uongozi unapobadilika wanazingua wawekezaji, nani anayeweza ku-bear hiyo risk?
 
Hiyo kununua nchi ni lugha ya picha tu. Hoja hapa keki ya nchi kuliwa na kikundi kidogo
 
Fasta fasta pia inatia mashaka. Jielize kwa nini na wao wakomae. Halafu hili jambo walilificha mwanzo, lilipokuja kuvuja ndio zakaja hizi hekaya. Halafu kwa nini wanunue machawa na wapambe?
Lazima tuwe efficient, tunataka mambo yaende taratibu, bureaucracy nyingi ndiyo tuna ridhika?
 
Acheni uoga
Hakuna anyewaogopa.
Nkuki kwa Nkuki
Ujifunze kuheshimu watu....na Ukome Kuwatukana kabila la Wasukuma kupitisha ajenda yenu inayomkwamisha SSH manake hajui ni yupi wa ku trust. Mmedanganya kuwa kuna hilo kundi ndani yake na amekimbia kwa Wajomba.....na badala ya Kumsaidia na kumwambia ukweli mnaendeleza mipasho yenu...sasa mle hio sanity
 
Hiyo kununua nchi ni lugha ya picha tu. Hoja hapa keki ya nchi kuliwa na kikundi kidogo
Mkuu, hizo ni unfounded fear of unknown. Watu wana hisi vitu ambavyo pengine havipo. Serikali inatakiwa kuwa wazi na kutoa taarifa rasmi kuondoa hizi sintofahamu na taharuki
 
Ukuma gang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…