MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Wasalaam wana zengwe
Hili suala la IGA na DP World limeleta mijadala mingi na kauli nyingi kinzani, gombeshi na chongeshi.
Ata mimi nimeandika nyuzi hii ikiwa ya tatu, lakini yote ikiwa katika kuchakata uhalali na ukubalifu wa IGA na DP World.
Kitu kikubwa ambacho bado naamini kina tunza utimamu wa mijadala na akili ni kuwa na akiba ya maneno,
Napata shida sana kuamini kwamba huyu kiongozi aliyerudisha sanity kwenye admnistration ya nchi na kuruhusu haki na uhuru wa wananchi kutamalaki, awe na nia ovu kubwa kama hii ya kuuza nchi.
Kwangu mimi, mama ni kielezo cha usalama wa familia, ni nadra sana kukuta mama akikengeuka na kuhatarisha usalama wa familia. Kwa mantiki hiyo, bado ninamuamini S.S.H.
Hakika, wasi wasi ni akili, ila ushauri wangu ni kwamba mijadala ifanyike kwa kuzingatia matumizi makubwa ya akili na si hisia. Ni muhimu pia kuwa na akiba ya maneno, haswa kwa viongozi wakubwa wa kitaifa kwani wanaweza kuleta sintofahamu na taharuki.
Tumpe nafasi, S,S. H afanye kazi alafu tumuhukumu baadae.
Ieleweke kwamba, hii inchi inataendelea kuwa yetu na bandari zitaendelea kuwa zetu ata kama kuna mtu au kikundi cha watu watajidanganya kuuza au kununua.
Hakuna atakayeweza kuondoka ata na millimetre moja ya mraba ya ardhi yetu tukufu. Tuache kuwa na unfounded fear of unknown.
Hoja hupingwa na hoja iliyo bora zaudi, jiratibu.
www.jamiiforums.com

Speculation zimekua ni nyingi sana, taarifa rasmi itolewe kuondoa taharuki
Mama Tanzania Wanao tuna piga ramli nyingi sana. Tangu amekuja DP World, speculation ni nyingi sana. Hakika, hii inatokana na ombwe la taarifa rasmi au mapungufu au ukinzani katika taarifa zisizo toshelevu. Wajibu wa viongozi ni kuondoa ombwe, kuondoa mkanganyiko na kuwapa taarifa rasmi...
Kuuza nchi maana yake nini?
Amani iwe mioyoni mwenu wana JF Wahenga wanasema: mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni Kwa kipindi kifupi, hadithi zimekua nyingi sana, na dhima kuu ni kwamba nchi inauzwa. Sasa basi, nini maana ya kuuza nchi? Literally, unaweza ukafanya presumption kwamba serikali inatoa watu wote...