Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
mbona hamkusubiri tume imalize kabla ya kumuweka mahabusu TAL? Mlaaniwe nyie na uzao wenu wote!Watanzania wa mrengo ule,wamekuwa wakitupa lawama sana kwa serekali yetu tukufu,juu ya uwajibikaji wake juu ya yale yalitokea 2025 Oktober,
At the same time vipo vyombo mahsusi ambavyo bado vinashughulikia suala hili kwa kina na umakini mkubwa katika kupata last solution of the matter
Watanzania kwa wakati huu hatukupaswa kutoa lawama zozote angali tume zingalipo kazini zikifanya kazi usiku na mchana ili baadae tupate mjumuiko na muunganiko wa tume zote na zilizotangukia.
Watanzania kwa sasa tulipaswa kutulia,na kusubiri tume hii ya mwisho ambayo ndiyo itakuja kubainisha kwa kina juu ya kile kilichotokea.
Kuongea ongea sana ni kuvuruga kazi inayoendelea kufanyika kimya kimya kipelelezi yaani kwa tume ambayo tunaweza kuiita (TUME-PELELEZI).
Hatuwezi lalama wakati hatuna jumuiko la mwisho,la kile kilichofanyika.
TUVUTE SUBRA,TUIACHE TUME PELELEZI,IMALIZE KAZI YAKE,NDIPO TUIHUKUMU,KWA KUTOTENDA HAKI.
TUWE WATULIVU NA TUONE NI KAMA SHAURI AMBALO LIPO MAHAKAMANI LISILOSTAHILI KUJADILIWA,KABLA TUME PELELEZI KUMALIZA KAZI YAKE.
INSHAALLAH.
Lissu alihusika moja kwa moja kwa maneno ya ulimi wake,labda nishangae kwa nini heche yupo huru maana naye alichochea kwa maneno ya ulimi wake dhahiri shairi.mbon ahamkusubiri tume imalize kabla ya kumuweka mahabusu TAL? Mlaaniwe nie na uzao wenu wote!
Lissu alihusika moja kwa moja kwa maneno ya ulimi wake,labda nishangae kwa nini heche yupo huru maana naye alichochea kwa maneno ya ulimi wake dhahiri shairi.
Kwa kosa gani ,Tundulisu alitenda kosa Gani?
Lissu alihusika moja kwa moja kwa maneno ya ulimi wake,labda nishangae kwa nini heche yupo huru maana naye alichochea kwa maneno ya ulimi wake dhahiri shairi.
#Hekima tuiache Tume pelelezi imalize kazi yake!.
Be cursed the vagaina that gave birth to you.Watanzania wa mrengo ule,wamekuwa wakitupa lawama sana kwa serekali yetu tukufu,juu ya uwajibikaji wake juu ya yale yalitokea 2025 Oktober,
At the same time vipo vyombo mahsusi ambavyo bado vinashughulikia suala hili kwa kina na umakini mkubwa katika kupata last solution of the matter
Watanzania kwa wakati huu hatukupaswa kutoa lawama zozote angali tume zingalipo kazini zikifanya kazi usiku na mchana ili baadae tupate mjumuiko na muunganiko wa tume zote na zilizotangukia.
Watanzania kwa sasa tulipaswa kutulia,na kusubiri tume hii ya mwisho ambayo ndiyo itakuja kubainisha kwa kina juu ya kile kilichotokea.
Kuongea ongea sana ni kuvuruga kazi inayoendelea kufanyika kimya kimya kipelelezi yaani kwa tume ambayo tunaweza kuiita (TUME-PELELEZI).
Hatuwezi lalama wakati hatuna jumuiko la mwisho,la kile kilichofanyika.
TUVUTE SUBRA,TUIACHE TUME PELELEZI,IMALIZE KAZI YAKE,NDIPO TUIHUKUMU,KWA KUTOTENDA HAKI.
TUWE WATULIVU NA TUONE NI KAMA SHAURI AMBALO LIPO MAHAKAMANI LISILOSTAHILI KUJADILIWA,KABLA TUME PELELEZI KUMALIZA KAZI YAKE.
INSHAALLAH.
Kushindwa kutambua athari za maneno yake akiwa kama mwenyekiti wa chama cha kisasa,title ya mwenyekiti ndiyo inamuweka hatihani,lakini ujinga huo ukitamkwa na mtu yeyote asiye katika ngazi yoyote,huwa ni ujinga tu,Kwa kosa gani ,Tundulisu alitenda kosa Gani?
Moja ya kiapo cha rais ni kuilinda nchi kwa nyakati zote,na kuikabidhi kwa kiongozi ajae kwa amani baada ya miaka kumi ya uongozi.Lazima utakuwa umeingiwa na uwendawazimu wa aina fulani. Serikali iliyoingia madarakani kwa nguvu, kwa kuua watu, unaiita tukufu!! Ni mzima wa akili wewe?? Labda utukufu wa shetani. Yawezekana wewe ni mmoja wa walioshiriki kwenye mauji, ndiyo maana damu za watu zimekuondokea hata ile akili ya kawaida!
I pour all good blessing to you!πBe cursed the vagaina that gave birth to you.
Kushindwa kutambua athari za maneno yake akiwa kama mwenyekiti wa chama cha kisasa,title ya mwenyekiti ndiyo inamuweka hatihani,lakini ujinga huo ukitamkwa na mtu yeyote asiye katika ngazi yoyote,huwa ni ujinga tu,
N.b,mfano,mwenyekiti wa ccm,atamke tu,tunakwenda kuivamia uganda na kuichukua, hilo linageuka agizo!, kwa nafasi ya uenyekiti wake na heshima ya nafasi hiyo.
#Umeelewa?,au bado!,kichwa ngumu kuelewa?
Maneno ni silaha mbaya kuliko AK47.Umesema alishindwa kutambua athari za Maneno yake kama mwenyekiti ?
Je Maneno MATUPU unamfungulia mtu kosa la uhaini?
Maneno ni silaha mbaya kuliko AK47.
TAL ndiye alisema nguvu iliotumika ni sawa?Lissu alihusika moja kwa moja kwa maneno ya ulimi wake,labda nishangae kwa nini heche yupo huru maana naye alichochea kwa maneno ya ulimi wake dhahiri shairi.
#Hekima tuiache Tume pelelezi imalize kazi yake!.
Rais akishaapishwa,mengine yote ni ya kujifurahisha tu,ni kufuata utaratibu uliopo chini ya sheria.Hivi na ww kabisa unasubiri tume ilete majibu yapi ya maana ...hebu tumia akili yako vizuri kama tume ya uchaguzi ilitangaza mwamba kashinda kwa aslimia 98 wakati ww mwemyewe unajua kabisa hata asilimia kumi hakufika uje uamini hizi tume zinazoundwa na huyo huyo kuchunguza mauaji walio fanya wao ππ
Unayo aidia ya masuala ya kisheria kwanza?,nisije kuwa nashindana na mtu asijejua lolote!Jibu hoja mbona unapuyanga?
Umesema "alishindwa kutambua athari za Maneno yake kama mwenyekiti?
Nakuuliza ,Maneno MATUPU pasipo vitendo vyake ilitosha kufunguliwa kesi ya uhaini kwa KATIBA na Sheria za Tanzania?