Tuwe na subira,tungoje kwanza tume zimalize kazi zake,ndipo tuanze kulaumu.

Nilianza kusoma vizuri tu.Ila,ulivyoandika "serikali tukufu" ndipo nikaacha na kukuona ni mamba mwenye mdomo mpana kwa ajili ya kudaka nzi tu.
 
Tume? Tume? Zije na tafsiri ya neno "nywinywinywi"
 
Tume? Tume? Zije na tafsiri ya neno "nywinywinywi"
Bakita waje hapa kutoa tafsiri,maana huu ni msamiati mpya.ni neno lisiloeleweka na lisilo na tafsida ya kiufasaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…