HakikaTuukubali ukweli kuwa nahodha ni mchanga sana. Sikiliza kutokuwepo coherence kwa hotuba zake. Angalia wasaidizi wake wa wakaribu angalia waandalizi wa kampeni. Kimsingi tuna safari kubwa.
Tuiombee nchi yetu. Ni wazi hakuna maono ya kiuongozi tena. Ni vurugu tupu.
Kuna mtu alisema hivi Polepole ataishi vipi baada ya uchaguzi kuisha na Samia kuwa rais?Tuukubali ukweli kuwa nahodha ni mchanga sana. Sikiliza kutokuwepo coherence kwa hotuba zake. Angalia wasaidizi wake wa wakaribu angalia waandalizi wa kampeni. Kimsingi tuna safari kubwa.
Tuiombee nchi yetu. Ni wazi hakuna maono ya kiuongozi tena. Ni vurugu tupu.
Inaumiza sana kuwa na watu wanaowaza kuja kuiba na kuuza kila kitu cha watanganyika baada ya uchaguzi. Mungu ndiye anajua cha kufanya.Kuna mtu alisema hivi Polepole ataishi vipi baada ya uchaguzi kuisha na Samia kuwa rais?
Mimi nikamwambia, hilo swali dogo kwa maana ni la mtu mmoja tu, swali kubwa zaidi ni kwamba, hivi ikiwa rais Samia atashinda na kuendelea kuwa rais, ataongozaje nchi ikiwa urais wake hauna uhalali kwa kiasi hiki?
Au ndiyo tutapelekwapelekwa kwa kuwa na kumbukumbu fupi kwa kanuni ya Kikwete ike ya "Huu ni upepo tu, utapita"?
Tuukubali ukweli kuwa nahodha ni mchanga sana. Sikiliza kutokuwepo coherence kwa hotuba zake. Angalia wasaidizi wake wa wakaribu angalia waandalizi wa kampeni.
Kimsingi tuna safari kubwa.
Tuiombee nchi yetu. Ni wazi hakuna maono ya kiuongozi tena. Ni vurugu tupu.
Hatua gani tuchukue zaidi ya kususa kama walivyofanya chadema?Maombi sasa imetosha, tuchukue hatua kuikomboa nchi.
Ni njia mojawapo ya kuanza na passive revolution. Changamoto nahodha na wanufaika wenzake wamejimilikisha watu kadhaa wa mfumo na kuendesha mfumo parallel. Madawati ya siasa yapo chini ya vijana wahuni na walivyo wajinga wamenogewa wanaanza kuandaa hadi Rais wa 2030. Lazima watu wazalendo kwenye vyombo vya dola muanze kuishi viapo vyenu vinginenvyo Tanzania is A Somalia in building in a next decade.Hatua gani tuchukue zaidi ya kususa kama walivyofanya chadema?
Hivi kwa nini hamuishi vituko?: Mh Samia ashughulishwe na nini baada ya uchaguzi simply kwa sababu kuna kigenge cha watu hakiridhiki yeye kuwa Rasi?Kuna mtu alisema hivi Polepole ataishi vipi baada ya uchaguzi kuisha na Samia kuwa rais?
Mimi nikamwambia, hilo swali dogo kwa maanua ni la mtu mmoja tu, swali kubwa zaidi ni kwamba, hivi ikiwa rais Samia atashinda na kuendelea kuwa rais, ataongozaje nchi ikiwa urais wake hauna uhalali kwa kiasi hiki?
Au ndiyo tutapelekwapelekwa kwa kuwa na kumbukumbu fupi kwa kanuni ya Kikwete ike ya "Huu ni upepo tu, utapita"?
Hakuna rais wa Tanzania aliyewekewa kesi mahakamani kutakiwa kuhalalisha uteuzi wake wa kuwa mgombea urais, kibaya zaidi kesi kawekewa na mwanachama wa CCM.Hivi kwa nini hamuishi vituko?: Mh Samia ashughulishwe na nini baada ya uchaguzi simply kwa sababu kuna kigenge cha watu hakiridhiki yeye kuwa Rasi?
Niwakumbushe tu, katika historia ya nchi hii Watanzania hawajawahi kuwa wamoja baada ya uchaguzi na hakuna Raisi aliekubaliwa na wote. Si JK Nyerere ambaye washindani wake walikimbia uhamishoni baadhi, wala Mzee Mwinyi ambaye kuliibuka maneno kadhaa kuhusu utawala wake, wala Mkapa ambaye mahasimu wake walikuja na slogan ya nchi imepata Ukapa wala Hayati JPM Shuja ambaye alipewa kila aina ya ubaya ikiwemo madai ya kuongoza nchi kwa mkono wa chuma na kunyimwa kwa demokasia.
Hivyo mnapoteza muda na ramli na ndoto za mchana. Nadharia mfu ya NRNE imezikwa rasmi leo huku digi digi akiandaa santuri nyingine baada ya vitisho vyake hewa kuangukia patupu.
Well said.Ni njia mojawapo ya kuanza na passive revolution. Changamoto nahodha na wanufaika wenzake wamejimilikisha watu kadhaa wa mfumo na kuendesha mfumo parallel. Madawati ya siasa yapo chini ya vijana wahuni na walivyo wajinga wamenogewa wanaanza kuandaa hadi Rais wa 2030. Lazima watu wazalendo kwenye vyombo vya dola muanze kuishi viapo vyenu vinginenvyo Tanzania is A Somalia in building in a next decade.
Kiranga nakuheshimu sana Comred kwa hoja zako hata hivyo hivi alichofanya Malisa ni kufungua kesi ambayo ni haki yake kwenye nchi inayofuata utawala wake Sheria. Mpaka tutakapopata uamuzi wa Mahakama kwenye kesi iliyofunguliwa..otherwise narudia nchi haijawahi kuungana katika kipindi chochote baada ya chaguzi zote na ndo maana ya demokrasia..mwisho wa siju wengi wape.Hakuna rais wa Tanzania aliyewekewa kesi mahakamani kutakiwa kuhalalisha uteuzi wake wa kuwa mgombea urais, kibaya zaidi kesi kawekewa na mwanachama wa CCM.
Samia hata akishinda urais, urais wake utagubikwa na wingu la kukosa uhalali.
Huelewi nini?
Nakubaliana na ww mana kuna watu wamekaa wakisubiri miujiza!Miujiza haiji ng'oo bila kuchukua hatuaMaombi sasa imetosha, tuchukue hatua kuikomboa nchi.
Ugumu uko wapi?Tuukubali ukweli kuwa nahodha ni mchanga sana. Sikiliza kutokuwepo coherence kwa hotuba zake. Angalia wasaidizi wake wa wakaribu angalia waandalizi wa kampeni.
Kimsingi tuna safari kubwa.
Tuiombee nchi yetu. Ni wazi hakuna maono ya kiuongozi tena. Ni vurugu tupu.
Low-key vijana mtaani wanaokotwa sana sijui wanawapeleka wapi aisee.Kuna mtu alisema hivi Polepole ataishi vipi baada ya uchaguzi kuisha na Samia kuwa rais?
Mimi nikamwambia, hilo swali dogo kwa maana ni la mtu mmoja tu, swali kubwa zaidi ni kwamba, hivi ikiwa rais Samia atashinda na kuendelea kuwa rais, ataongozaje nchi ikiwa urais wake hauna uhalali kwa kiasi hiki?
Au ndiyo tutapelekwapelekwa kwa kuwa na kumbukumbu fupi kwa kanuni ya Kikwete ile ya "Huu ni upepo tu, utapita"?
Uko sahihi sanaKuna mtu alisema hivi Polepole ataishi vipi baada ya uchaguzi kuisha na Samia kuwa rais?
Mimi nikamwambia, hilo swali dogo kwa maana ni la mtu mmoja tu, swali kubwa zaidi ni kwamba, hivi ikiwa rais Samia atashinda na kuendelea kuwa rais, ataongozaje nchi ikiwa urais wake hauna uhalali kwa kiasi hiki?
Au ndiyo tutapelekwapelekwa kwa kuwa na kumbukumbu fupi kwa kanuni ya Kikwete ile ya "Huu ni upepo tu, utapita"?
Unasemaje wengi wape wakati wajumbe wa CCM wamepigwa ambush kumteua Samia na wana CCM wengine hawajapewa hata nafasi ya kumpinga Samia?Kiranga nakuheshimu sana Comred kwa hoja zako hata hivyo hivi alichofanya Malisa ni kufungua kesi ambayo ni haki yake kwenye nchi inayofuata utawala wake Sheria. Mpaka tutakapopata uamuzi wa Mahakama kwenye kesi iliyofunguliwa..otherwise narudia nchi haijawahi kuungana katika kipindi chochote baada ya chaguzi zote na ndo maana ya demokrasia..mwisho wa siju wengi wape.
Hivi kama wapingaji wangekuwa na majority wangeweza kufanya chochote kuhusiana na hoja ya uteuzi. Tunachokiona ni Malisa na Pole pole tu..na possibly kigenge kidogo sana cha watu wakisaidiwa na watia ndimu wa CHADEMA.
Tunatengeneza nchi ya ma zombies.Low-key vijana mtaani wanaokotwa sana sijui wanawapeleka wapi aisee.