baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Tumuombe MUNGU atusandieInaumiza sana kuwa na watu wanaowaza kuja kuiba na kuuza kila kitu cha watanganyika baada ya uchaguzi. Mungu ndiye anajua cha kufanya.
Tumuombe MUNGU atusandieInaumiza sana kuwa na watu wanaowaza kuja kuiba na kuuza kila kitu cha watanganyika baada ya uchaguzi. Mungu ndiye anajua cha kufanya.
Watu wengine wana minofu midomoni kukuelewa ngumuHakuna rais wa Tanzania aliyewekewa kesi mahakamani kutakiwa kuhalalisha uteuzi wake wa kuwa mgombea urais, kibaya zaidi kesi kawekewa na mwanachama wa CCM.
Samia hata akishinda urais, urais wake utagubikwa na wingu la kukosa uhalali.
Huelewi nini?
Matoeko ya serikali dhaifu, ni ustawi wa matajiri kwa gharama ya umaskini kwa wengi.Tuukubali ukweli kuwa nahodha ni mchanga sana. Sikiliza kutokuwepo coherence kwa hotuba zake. Angalia wasaidizi wake wa wakaribu angalia waandalizi wa kampeni.
Kimsingi tuna safari kubwa.
Tuiombee nchi yetu. Ni wazi hakuna maono ya kiuongozi tena. Ni vurugu tupu.