Tuwe watulivu, busara na hekima itawale asijifanye mtu mwenye nyumba wote ni wenye nyumba

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,840
Reaction score
8,202
Tanzania katikati ya matumaini na mashaka, ikisubiri ripoti ya Oktoba 29

a

Tanzania kwa sasa iko katika wakati wa kipekee na wenye uzito mkubwa wa kihistoria. Ni kipindi cha kusubiri, kutafakari na kujiuliza maswali magumu kuhusu mustakabali wa taifa, wakati macho yote yakiwa yameelekezwa kwenye ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, 2025.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mohamed Chande, ripoti hii itakabidhiwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye ndiye aliyeiunda tume hiyo, Novemba 18, 2025. Itakabidhiwa Aprili 23, 2026.

Na kabla ya ripoti kukabidhiwa Rais aligusia machache yanayohusiana na matukio ya oktoba 29; " tunaambiwa kwamba vijana walioingia barabarani walilipwa fedha kwanza ndiyo wakaingia barabarani".

Alisema pia vijana walifuata mkumbwa, hakakujua wanachokifanya. Mamia ya vijana walikamatwa na kufikishwa Mahakamani kwa uhaini, kabla kusamehewa na Rais.
 
Tanzania katikati ya matumaini na mashaka, ikisubiri ripoti ya Oktoba 29​

Sheria ya Tume za Uchunguzi ya Tanzania, Sura ya 32 Toleo Lililorekebishwa 2002, inampa Rais mamlaka ya kuanzisha tume za kuchunguza masuala ya maslahi ya umma, ikiwa ni pamoja na mwenendo wa watumishi wa umma, idara za serikali, na masuala ya rushwa. Sheria hii inaruhusu uteuzi wa makamishna, inaweka taratibu za uchunguzi, inatoa mamlaka ya kuwaita mashahidi, na kwa ujumla hutumika kwa ajili ya kubaini ukweli (fact-finding) badala ya kutoa hukumu.

Vipengele muhimu vya Sheria hii:

1. Kuanzishwa kwa Tume:
Kifungu cha 3 kinampa Rais mamlaka ya kutoa amri ya kuanzisha tume ya uchunguzi kwa hiari yake mwenyewe, kwa ushauri wa Waziri, au kwa kuzingatia kiapo cha mtu yeyote.

2. Wigo wa Uchunguzi:
Unahusisha mwenendo wa watumishi wa umma, mamlaka za serikali za mitaa, ukwepaji kodi, dosari katika mapato ya serikali, na usimamizi wa mashirika ya umma.

3. Mamlaka ya Tume:
Tume ina mamlaka sawa na Mahakama Kuu ya kuwaita mashahidi, kuhitaji nyaraka mbalimbali, na kuwahoji mashahidi chini ya kiapo.

4. Utaratibu wa Kazi:
Mikutano ya tume inaweza kuwa ya wazi au ya siri kulingana na maelekezo ya Rais, na makamishna wanatakiwa kufanya kazi kwa uhuru bila kuingiliwa.

5. Ripoti na Hatua:
Tume huwasilisha ripoti kwa Rais, ambaye anaweza kuchukua hatua mbalimbali, ikiwemo kutoa fidia, kuagiza kufunguliwa mashitaka ya jinai, pamoja na kuamua kama ripoti hiyo ichapishwe au la.

Kesho tunaenda kupokea ripoti rasmi ya Tume ya Kuchunguza Matukio ya Kabla, Wakati na Baada ya Oktoba 29 chini ya uenyekiti mahiri wa Jaji (Mstaafu) Othman Chande na wajumbe wenzake.
 
hakuna haja ya kuwewesaka gentleman,
ni muhimu kua wastahimilivu na wenye subra licha ya awali mliibeza za sana tume hiyo maalumu na muhimu sana ya Rais, ili kuchunguza na hatimae kutoa ripoti ya kipi ni porojo, kipi ni uzushi, kipi ni ukweli na uhakika wa hayo ya oct.29.2025.

hakuna haja ya viherehere
 
Sheria ya Tume za Uchunguzi ya Tanzania, Sura ya 32 Toleo Lililorekebishwa 2002, inampa Rais mamlaka ya kuanzisha tume za kuchunguza masuala ya maslahi ya umma, ikiwa ni pamoja na mwenendo wa watumishi wa umma, idara za serikali, na masuala ya rushwa. Sheria hii inaruhusu uteuzi wa makamishna, inaweka taratibu za uchunguzi, inatoa mamlaka ya kuwaita mashahidi, na kwa ujumla hutumika kwa ajili ya kubaini ukweli (fact-finding) badala ya kutoa hukumu.

Vipengele muhimu vya Sheria hii:

1. Kuanzishwa kwa Tume:
Kifungu cha 3 kinampa Rais mamlaka ya kutoa amri ya kuanzisha tume ya uchunguzi kwa hiari yake mwenyewe, kwa ushauri wa Waziri, au kwa kuzingatia kiapo cha mtu yeyote.

2. Wigo wa Uchunguzi:
Unahusisha mwenendo wa watumishi wa umma, mamlaka za serikali za mitaa, ukwepaji kodi, dosari katika mapato ya serikali, na usimamizi wa mashirika ya umma.

3. Mamlaka ya Tume:
Tume ina mamlaka sawa na Mahakama Kuu ya kuwaita mashahidi, kuhitaji nyaraka mbalimbali, na kuwahoji mashahidi chini ya kiapo.

4. Utaratibu wa Kazi:
Mikutano ya tume inaweza kuwa ya wazi au ya siri kulingana na maelekezo ya Rais, na makamishna wanatakiwa kufanya kazi kwa uhuru bila kuingiliwa.

5. Ripoti na Hatua:
Tume huwasilisha ripoti kwa Rais, ambaye anaweza kuchukua hatua mbalimbali, ikiwemo kutoa fidia, kuagiza kufunguliwa mashitaka ya jinai, pamoja na kuamua kama ripoti hiyo ichapishwe au la.

Kesho tunaenda kupokea ripoti rasmi ya Tume ya Kuchunguza Matukio ya Kabla, Wakati na Baada ya Oktoba 29 chini ya uenyekiti mahiri wa Jaji (Mstaafu) Othman Chande na wajumbe wenzake.
Kwenye hili rais hana uhalali wa kuunda tume, bali kuundiwa tume, maana yeye ndio aliongoza mauaji ili abaki madarakani kwa shuruti. Tume iwe imesema ni wapi kura 31m zimetokea, maana hakukuwa na hao wapiga kura.
 
Msoma ripoti anazunguka kutaja neno risasi sijui anakwepa nini
 
Back
Top Bottom