Tuwe wawazi, Je unajivunia kuwa Mtanzania?

Dah back in days nilikuwa nataka kuikimbia hiii nchi,,,, nikapambana kupata kapassport…nikawa nakimbizana na scholaship na connection……
Ila baada ya kuona jinsi tunavyobaguliwa hizo nchi za watu…..🥹🥹🥹🥹
Im proud to be Tanzanian…💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿
 
Inabidi tu uzoee tabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…