Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukuenda uganda utachanganyikiwa manake kule ni warefu big nyash kila mwanamke anamilikiKiasi chake kwa sababu, nchi yangu ina wanawake wengi wenye nyashi kubwa kubwa 🤒😎
Thus why ni kasema kwa sababu wanawake wengi wanamiliki big nyash (this means siyo wote) 😄😄ukuenda uganda utachanganyikiwa manake kule ni warefu big nyash kila mwanamke anamiliki
Inabidi tu uzoee tabuDah back in days nilikuwa nataka kuikimbia hiii nchi,,,, nikapambana kupata kapassport…nikawa nakimbizana na scholaship na connection……
Ila baada ya kuona jinsi tunavyobaguliwa hizo nchi za watu…..🥹🥹🥹🥹
Im proud to be Tanzanian…💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿
Mm kusema kwel najivunia kwel kwel ,yaan na nikapata nafas ya kuchagua mfano ya kuchagua utaifa unaotaka uzaliwe nahis nngechagua tz Tena na tenaView attachment 3067641
Karibuni:
Ndo maana nimesema wengi this means siyo wote mkuu 😄😄HHaha daah kuliko south africa?