Tuwe wazi, hivi CCM ikitoka madarakani Kuna kiongozi yeyote anafaa kutuongoza

Kevzy

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2026
Posts
976
Reaction score
1,712
Ile paaap Ccm Chali

Kuna kiongozi yeyote ambaye ana mlengo wa kisiasa kupitia chama Cha Ccm atatufaa au tunaanza upya na viongozi wapya

Binafsi naona kama Hawa jamaa wakianguka Tena Kwa njia ambayo ya wazi ambayo kuwaambia kuwa hatuwataki watoke madalakani ni vyema wote wakatafuta biashara au shughuli za kufanya tofauti na kutuongoza mambo yaanze upya , japo kuwa itakuwa mgumu kuanza na viongozi wapya ila Bora watoke wote madalakani yaani hata mjumbe wa nyumba kumi: asiwe ccm
 
Nchi itaendeshwa na waTanzania. Tunataka mambo ya kuingiza siasa za vyama kwenye kuendesha nchi yaishe. Chama inaweza kutoa guidance lakini siyo kuamua kila kitu. Mambo ya chama kushika hatamu (state party) tutayaondoa. Siasa haitakuwa na nafasi kwenye kuoongoza kila idara. Utaratibu wa sasa ambao CEO wa shirika la simu lazima awe mwanachama wa chama tawala utaisha. Professionalism itazingatiwa na siyo loyalty kwenye chama. Pia kutenganisha chama na serikali ndio njia nzuri.
 
Ile paaap Ccm Chali

Kuna kiongozi yeyote ambaye ana mlengo wa kisiasa kupitia chama Cha Ccm atatufaa au tunaanza upya na viongozi wapya

Binafsi naona kama Hawa jamaa wakianguka Tena Kwa njia ambayo ya wazi ambayo kuwaambia kuwa hatuwataki watoke madalakani ni vyema wote wakatafuta biashara au shughuli za kufanya tofauti na kutuongoza mambo yaanze upya , japo kuwa itakuwa mgumu kuanza na viongozi wapya ila Bora watoke wote madalakani yaani hata mjumbe wa nyumba kumi: asiwe ccm
Kama Samia kaweza kuwa kiongozi tz basi hata nguruwe anaweza kuongoza Tanzania
 
Sijawahi kupewa jibu nikuliza
Endapo upinzani ukishika nchi, Je nani atakuwa
Waziri wa Sayansi na Teknolojia - Lazima awe Mhandisi au Mwanasayansi
Waziri wa Afya - Lazima awe daktari au mtaalamu wa afya ya jamii(public Health)
Waziri wa Viwanda - Lazima awe mhandisi au Mchumi wa Sayansi
Waziri wa Ujenzi - Lazima awe mhandisi
Waziri wa Nishati/Madini - Lazima awe Mhandisi au Mwanasayansi

Kuna hawa wanajiita ndio wapinzani halisi, kule kumejaa wanaojiita wanasheria wasomi, hakuna mhandisi wala daktari wala mwanasayansi wala mchumi
 
Sio lazima nchi ichukuliwe na chama Cha siasa
 
Mchengerwa ni mtaalamu wa Afya?
 
Possibility ya mabadiliko ya kimfumo na katiba ni muhimu kuliko nani awe nani, kwamba tabia ya mwanasiasa iwe shaped na mifumo sio mifumo kuwa shaped by tabia ya mwanasiasa.

Mwanasiasa akishape mifumo badala ya mifumo kumshape mwanasiasa ndo tunakuwa na watendaji wa serikali machawa wa kiongozi.
 
Kitakachobadilika ni bender tu ya chama tawala ila watu watakua walewale isipokua wachache tu maana ukicheki mfano kama chadema asilimia 99 ni darasa la saba na form 4 sas huyo unategemea atamuongoza nan hapo kitakacho fanyika wana ccm watahamia chadema afu waliokua juu kipindi ccm iko madarakani watabaki juu wachini tutabaki chini yan inshort nibendera tu ndo itabadilika
 
Mchengerwa ni mtaalamu wa Afya?
Inabidi aanze kujitenga mapema na
Kitakachobadilika ni bender tu ya chama tawala ila watu watakua walewale isipokua wachache tu maana ukicheki mfano kama chadema asilimia 99 ni darasa la saba na form 4 sas huyo unategemea atamuongoza nan hapo kitakacho fanyika wana ccm watahamia chadema afu waliokua juu kipindi ccm iko madarakani watabaki juu wachini tutabaki chini yan inshort nibendera tu ndo itabadilika
Watabadili jina la chama badala ya Ccm itaitwa kttb ilimrad tu wabakie madarakani
 
Possibility ya mabadiliko ya kimfumo na katiba ni muhimu kuliko nani awe nani, kwamba tabia ya mwanasiasa iwe shaped na mifumo sio mifumo kuwa shaped by tabia ya mwanasiasa.

Mwanasiasa akishape mifumo badala ya mifumo kumshape mwanasiasa ndo tunakuwa na watendaji wa serikali machawa wa kiongozi.
So wakibadili mifumo tuwaache
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Apa nchini kuna watumishi wengi tu wapo majeshini,vyuoni na ata kwenye vitengo nyeti na mataasisi makubwa ambao ni wapinzani wasio na vyama wanasubiri tu upenyo nao wawe huru kujitangaza (kumbuka watu wanaogopa kujitokeza kua wapinzan sababu watauwawa,watafilisiwa,watafukuzwa kazi na chama tawala)
 
So wakibadili mifumo tuwaache
Hoja kwangu ni mfumo unaoruhusu kuwajibishana bila kujali nafasi, uwepo wa katiba bora, sheria na wasimamizi wa sheria wanaolazimishwa na mifumo kutenda haki.

Haijalishi ni nani yupo, nani kabaki, nani kaingia, nani katoka as long as mfumo upo imara.
 
Apa nchini kuna watumishi wengi tu wapo majeshini,vyuoni na ata kwenye vitengo nyeti na mataasisi makubwa ambao ni wapinzani wasio na vyama wanasubiri tu upenyo nao wawe huru kujitangaza (kumbuka watu wanaogopa kujitokeza kua wapinzan sababu watauwawa,watafilisiwa,watafukuzwa kazi na chama tawala)
Hili nalo neno.
 
Wako wa kutosha kujaza nafasi zote na kubaki.
 
Back
Top Bottom