Tuwe wazi, hivi CCM ikitoka madarakani Kuna kiongozi yeyote anafaa kutuongoza

Tuwe wazi, hivi CCM ikitoka madarakani Kuna kiongozi yeyote anafaa kutuongoza

Hoja kwangu ni mfumo unaoruhusu kuwajibishana bila kujali nafasi, uwepo wa katiba bora, sheria na wasimamizi wa sheria wanaolazimishwa na mifumo kutenda haki.

Haijalishi ni nani yupo, nani kabaki, nani kaingia, nani katoka as long as mfumo upo imara.
Ok
 
Apa nchini kuna watumishi wengi tu wapo majeshini,vyuoni na ata kwenye vitengo nyeti na mataasisi makubwa ambao ni wapinzani wasio na vyama wanasubiri tu upenyo nao wawe huru kujitangaza (kumbuka watu wanaogopa kujitokeza kua wapinzan sababu watauwawa,watafilisiwa,watafukuzwa kazi na chama tawala)
Yeah kweli kabsa watu wa fani mbali mbali wapo kwenye mataasis mbali mbali , tutawachukua hao watuongoze
 
Sijawahi kupewa jibu nikuliza
Endapo upinzani ukishika nchi, Je nani atakuwa
Waziri wa Sayansi na Teknolojia - Lazima awe Mhandisi au Mwanasayansi
Waziri wa Afya - Lazima awe daktari au mtaalamu wa afya ya jamii(public Health)
Waziri wa Viwanda - Lazima awe mhandisi au Mchumi wa Sayansi
Waziri wa Ujenzi - Lazima awe mhandisi
Waziri wa Nishati/Madini - Lazima awe Mhandisi au Mwanasayansi

Kuna hawa wanajiita ndio wapinzani halisi, kule kumejaa wanaojiita wanasheria wasomi, hakuna mhandisi wala daktari wala mwanasayansi wala mchumi
Kwani hao watu Tanzania nzima hawapo au hao watu wapo huko kwenu kwenye chama cha majambazi?
 
Sijawahi kupewa jibu nikuliza
Endapo upinzani ukishika nchi, Je nani atakuwa
Waziri wa Sayansi na Teknolojia - Lazima awe Mhandisi au Mwanasayansi
Waziri wa Afya - Lazima awe daktari au mtaalamu wa afya ya jamii(public Health)
Waziri wa Viwanda - Lazima awe mhandisi au Mchumi wa Sayansi
Waziri wa Ujenzi - Lazima awe mhandisi
Waziri wa Nishati/Madini - Lazima awe Mhandisi au Mwanasayansi

Kuna hawa wanajiita ndio wapinzani halisi, kule kumejaa wanaojiita wanasheria wasomi, hakuna mhandisi wala daktari wala mwanasayansi wala mchumi
Samia ni engineer?
Rostam ni daktari
Kikwete ni Chemist
Msukuma ni Rubani
 
Ile paaap Ccm Chali

Kuna kiongozi yeyote ambaye ana mlengo wa kisiasa kupitia chama Cha Ccm atatufaa au tunaanza upya na viongozi wapya

Binafsi naona kama Hawa jamaa wakianguka Tena Kwa njia ambayo ya wazi ambayo kuwaambia kuwa hatuwataki watoke madalakani ni vyema wote wakatafuta biashara au shughuli za kufanya tofauti na kutuongoza mambo yaanze upya , japo kuwa itakuwa mgumu kuanza na viongozi wapya ila Bora watoke wote madalakani yaani hata mjumbe wa nyumba kumi: asiwe ccm
''Madalakani'' ndiyo nini? Kama hata kuandika maneno rahisi kabisa ya kiswahili huwezi mambo yenye kuhitaji mantiki unaweza?
 
Nchi itaendeshwa na waTanzania. Tunataka mambo ya kuingiza siasa za vyama kwenye kuendesha nchi yaishe. Chama inaweza kutoa guidance lakini siyo kuamua kila kitu. Mambo ya chama kushika hatamu (state party) tutayaondoa. Siasa haitakuwa na nafasi kwenye kuoongoza kila idara. Utaratibu wa sasa ambao CEO wa shirika la simu lazima awe mwanachama wa chama tawala utaisha. Professionalism itazingatiwa na siyo loyalty kwenye chama. Pia kutenganisha chama na serikali ndio njia nzuri.
Nakazia hoja. Nchi inaongozwa kwa KATIBA. Anayeingia uongozini (Bila kujali ni wa kutoka chama gani cha siasa) Lazima azingatie misingi ya Katiba iliyokubalika na wote bila kuiyumbisha wala kuichakachua. KATIBA ni Mkataba wa Makubaliano ya Hiari baina ya Raia/Wananchi na Serikali watakayoiweka madarakani.
 
Ile paaap Ccm Chali

Kuna kiongozi yeyote ambaye ana mlengo wa kisiasa kupitia chama Cha Ccm atatufaa au tunaanza upya na viongozi wapya

Binafsi naona kama Hawa jamaa wakianguka Tena Kwa njia ambayo ya wazi ambayo kuwaambia kuwa hatuwataki watoke madalakani ni vyema wote wakatafuta biashara au shughuli za kufanya tofauti na kutuongoza mambo yaanze upya , japo kuwa itakuwa mgumu kuanza na viongozi wapya ila Bora watoke wote madalakani yaani hata mjumbe wa nyumba kumi: asiwe ccm
Wee Jamaa! Kwani ccm imefunga ndoa na Tanzania?
 
Nakazia hoja. Nchi inaongozwa kwa KATIBA. Anayeingia uongozini (Bila kujali ni wa kutoka chama gani cha siasa) Lazima azingatie misingi ya Katiba iliyokubalika na wote bila kuiyumbisha wala kuichakachua. KATIBA ni Mkataba wa Makubaliano ya Hiari baina ya Raia/Wananchi na Serikali watakayoiweka madarakani.
Katiba tutaibadili nayo
 
Ml

Mleta mada ni kati ya wale watu wa cccm ambao hawawezi kufikiri nje ya chama. Utaratibu mbovu lakini wanaushikilia, lakini kwa hali ilivyo kwa sasa lazima wabadilike kabla hawajalazimishwa kubadilika. Maisha yanaenda kasi sana
Inawezekana eeeh
 
Shida yetu ni mifumo mibovu sio kiongozi

Hata bi chura angekuta mifumo dhabiti asingefanya madudu kama haya(sina uhakika kwa bi chura)

Tufumue system yoote tuanze upya!
 
Back
Top Bottom