Sijawahi kupewa jibu nikuliza
Endapo upinzani ukishika nchi, Je nani atakuwa
Waziri wa Sayansi na Teknolojia - Lazima awe Mhandisi au Mwanasayansi
Waziri wa Afya - Lazima awe daktari au mtaalamu wa afya ya jamii(public Health)
Waziri wa Viwanda - Lazima awe mhandisi au Mchumi wa Sayansi
Waziri wa Ujenzi - Lazima awe mhandisi
Waziri wa Nishati/Madini - Lazima awe Mhandisi au Mwanasayansi
Kuna hawa wanajiita ndio wapinzani halisi, kule kumejaa wanaojiita wanasheria wasomi, hakuna mhandisi wala daktari wala mwanasayansi wala mchumi