Kama Samia kaweza kuwa kiongozi tz basi hata nguruwe anaweza kuongoza TanzaniaIle paaap Ccm Chali
Kuna kiongozi yeyote ambaye ana mlengo wa kisiasa kupitia chama Cha Ccm atatufaa au tunaanza upya na viongozi wapya
Binafsi naona kama Hawa jamaa wakianguka Tena Kwa njia ambayo ya wazi ambayo kuwaambia kuwa hatuwataki watoke madalakani ni vyema wote wakatafuta biashara au shughuli za kufanya tofauti na kutuongoza mambo yaanze upya , japo kuwa itakuwa mgumu kuanza na viongozi wapya ila Bora watoke wote madalakani yaani hata mjumbe wa nyumba kumi: asiwe ccm
Sio lazima nchi ichukuliwe na chama Cha siasaSijawahi kupewa jibu nikuliza
Endapo upinzani ukishika nchi, Je nani atakuwa
Waziri wa Sayansi na Teknolojia - Lazima awe Mhandisi au Mwanasayansi
Waziri wa Afya - Lazima awe daktari au mtaalamu wa afya ya jamii(public Health)
Waziri wa Viwanda - Lazima awe mhandisi au Mchumi wa Sayansi
Waziri wa Ujenzi - Lazima awe mhandisi
Waziri wa Nishati/Madini - Lazima awe Mhandisi au Mwanasayansi
Kuna hawa wanajiita ndio wapinzani halisi, kule kumejaa wanaojiita wanasheria wasomi, hakuna mhandisi wala daktari wala mwanasayansi wala mchumi
Mchengerwa ni mtaalamu wa Afya?Sijawahi kupewa jibu nikuliza
Endapo upinzani ukishika nchi, Je nani atakuwa
Waziri wa Sayansi na Teknolojia - Lazima awe Mhandisi au Mwanasayansi
Waziri wa Afya - Lazima awe daktari au mtaalamu wa afya ya jamii(public Health)
Waziri wa Viwanda - Lazima awe mhandisi au Mchumi wa Sayansi
Waziri wa Ujenzi - Lazima awe mhandisi
Waziri wa Nishati/Madini - Lazima awe Mhandisi au Mwanasayansi
Kuna hawa wanajiita ndio wapinzani halisi, kule kumejaa wanaojiita wanasheria wasomi, hakuna mhandisi wala daktari wala mwanasayansi wala mchumi
Inabidi aanze kujitenga mapema naMchengerwa ni mtaalamu wa Afya?
Watabadili jina la chama badala ya Ccm itaitwa kttb ilimrad tu wabakie madarakaniKitakachobadilika ni bender tu ya chama tawala ila watu watakua walewale isipokua wachache tu maana ukicheki mfano kama chadema asilimia 99 ni darasa la saba na form 4 sas huyo unategemea atamuongoza nan hapo kitakacho fanyika wana ccm watahamia chadema afu waliokua juu kipindi ccm iko madarakani watabaki juu wachini tutabaki chini yan inshort nibendera tu ndo itabadilika
So wakibadili mifumo tuwaachePossibility ya mabadiliko ya kimfumo na katiba ni muhimu kuliko nani awe nani, kwamba tabia ya mwanasiasa iwe shaped na mifumo sio mifumo kuwa shaped by tabia ya mwanasiasa.
Mwanasiasa akishape mifumo badala ya mifumo kumshape mwanasiasa ndo tunakuwa na watendaji wa serikali machawa wa kiongozi.
Hoja kwangu ni mfumo unaoruhusu kuwajibishana bila kujali nafasi, uwepo wa katiba bora, sheria na wasimamizi wa sheria wanaolazimishwa na mifumo kutenda haki.So wakibadili mifumo tuwaache
Hili nalo neno.Apa nchini kuna watumishi wengi tu wapo majeshini,vyuoni na ata kwenye vitengo nyeti na mataasisi makubwa ambao ni wapinzani wasio na vyama wanasubiri tu upenyo nao wawe huru kujitangaza (kumbuka watu wanaogopa kujitokeza kua wapinzan sababu watauwawa,watafilisiwa,watafukuzwa kazi na chama tawala)