Tuwe wazi, hivi CCM ikitoka madarakani Kuna kiongozi yeyote anafaa kutuongoza

Ok
 
Yeah kweli kabsa watu wa fani mbali mbali wapo kwenye mataasis mbali mbali , tutawachukua hao watuongoze
 
Kwani hao watu Tanzania nzima hawapo au hao watu wapo huko kwenu kwenye chama cha majambazi?
 
Samia ni engineer?
Rostam ni daktari
Kikwete ni Chemist
Msukuma ni Rubani
 
''Madalakani'' ndiyo nini? Kama hata kuandika maneno rahisi kabisa ya kiswahili huwezi mambo yenye kuhitaji mantiki unaweza?
 
Nakazia hoja. Nchi inaongozwa kwa KATIBA. Anayeingia uongozini (Bila kujali ni wa kutoka chama gani cha siasa) Lazima azingatie misingi ya Katiba iliyokubalika na wote bila kuiyumbisha wala kuichakachua. KATIBA ni Mkataba wa Makubaliano ya Hiari baina ya Raia/Wananchi na Serikali watakayoiweka madarakani.
 
Wee Jamaa! Kwani ccm imefunga ndoa na Tanzania?
 
Katiba tutaibadili nayo
 
Ml
Mchengerwa ni mtaalamu wa Afya?
Mleta mada ni kati ya wale watu wa cccm ambao hawawezi kufikiri nje ya chama. Utaratibu mbovu lakini wanaushikilia, lakini kwa hali ilivyo kwa sasa lazima wabadilike kabla hawajalazimishwa kubadilika. Maisha yanaenda kasi sana
 
Ml

Mleta mada ni kati ya wale watu wa cccm ambao hawawezi kufikiri nje ya chama. Utaratibu mbovu lakini wanaushikilia, lakini kwa hali ilivyo kwa sasa lazima wabadilike kabla hawajalazimishwa kubadilika. Maisha yanaenda kasi sana
Inawezekana eeeh
 
Shida yetu ni mifumo mibovu sio kiongozi

Hata bi chura angekuta mifumo dhabiti asingefanya madudu kama haya(sina uhakika kwa bi chura)

Tufumue system yoote tuanze upya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…