YeahAlimradi iwe ni IMEKUBALIWA NA WANANCHI WOTE.
Na mfumo unapindishwa Kwa maksud sio kama hatujui mfumo Bora unatakiwa uweje au uendeshwe vip? Hawakosei wanafanya Kwa maanaShida yetu ni mifumo mibovu sio kiongozi
Hata bi chura angekuta mifumo dhabiti asingefanya madudu kama haya(sina uhakika kwa bi chura)
Tufumue system yoote tuanze upya!
uliishia darasa la
Haya bwana Professoruliishia darasa la ngapi?
Khakhakhaaa
Kama hawa waliopo wanaongoza, si yeyote aweza?Ile paaap Ccm Chali
Kuna kiongozi yeyote ambaye ana mlengo wa kisiasa kupitia chama Cha Ccm atatufaa au tunaanza upya na viongozi wapya
Binafsi naona kama Hawa jamaa wakianguka Tena Kwa njia ambayo ya wazi ambayo kuwaambia kuwa hatuwataki watoke madalakani ni vyema wote wakatafuta biashara au shughuli za kufanya tofauti na kutuongoza mambo yaanze upya , japo kuwa itakuwa mgumu kuanza na viongozi wapya ila Bora watoke wote madalakani yaani hata mjumbe wa nyumba kumi: asiwe ccm
Vipi wakibadilisha system,kwamba kuwa waziri sio lazima uwe Mbunge mbona utawapata wengi tu.Hata hivyo waziri ni newborn tu brother wengi wanatafuniwa.Sijawahi kupewa jibu nikuliza
Endapo upinzani ukishika nchi, Je nani atakuwa
Waziri wa Sayansi na Teknolojia - Lazima awe Mhandisi au Mwanasayansi
Waziri wa Afya - Lazima awe daktari au mtaalamu wa afya ya jamii(public Health)
Waziri wa Viwanda - Lazima awe mhandisi au Mchumi wa Sayansi
Waziri wa Ujenzi - Lazima awe mhandisi
Waziri wa Nishati/Madini - Lazima awe Mhandisi au Mwanasayansi
Kuna hawa wanajiita ndio wapinzani halisi, kule kumejaa wanaojiita wanasheria wasomi, hakuna mhandisi wala daktari wala mwanasayansi wala mchumi
Babu yako raisiSugu Waziri Mkuu๐๐๐๐
Dr. SILAA.Ile paaap Ccm Chali