sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Cerebral Palsy (CP)Kunafamilia zinapitia magumu mengi,
ni kitu gani hichoCerebral Palsy (CP)
Hizi nyingi husababishwa na Wataalamu wa afya wakati wa mama kujifungua.Cerebral Palsy (CP)
Ni kweli tunatakiwa tushukuru kwa kila jamboHebu jaribu kupata picha ya wanandoa waliokaa pamoja kwa zaidi ya miaka kumi bila ya kupata mtoto hata huyo kilema ama kiziwi unayesema.
Mtoto Ni mtoto tu Tena Ni baraka kubwa Sana kutoka kwa Mungu.Haijalishi huyo mtoto Ana mapungufu kiasi gani ila wanandoa wanatakiwa kumshukuru Sana Mungu kea kuwajalia mtoto.
Kumbuka Mungu akikupa kilema anakupa na mwendo.
Utindio wa UBONGOni kitu gani hicho
Duh! Mungu awafanyie welesi jamaniHuu uzi Umeniuma sana
Nina Best yangu Wamepata Katoto kana shida Ya kiafya tangu Azaliwe hajawahi kua na furaha, sio kichanga sio wazazi...
Inauma sana, inauma sana yaani mimi tuu hua nikienda kuwasalimia machozi yananitoka, na imagine wao wanakuaje? Ukiangalia ni mtoto wa kwanza na waliomsubiria kwa Hamu sanaa...
Mungu Wape nguvu na tumaini watu hawa wote
Huu uzi Siufungui tena.
Dada Faiza, sio wamasai tu ni makabila mengi hata wazungu walifanya hivyo.Zamani Wamasai wlikuwa na mila ya kuuwa watoto walemavu, sijuwi siku hizi kama wameawacha.
Wanafunzi wa Yesu walimuuliza swali kama hilo!Jibu ni kudhihilisha ukuu na utukufu wa Mungu!!!Wewe hapo unaesoma uzi huu ukipata mtoto ama tayari unae :
- haoni na hasikii
- hajitambui
- utindio wa ubongo
- ugonjwa wa kumfanya ahudumiwe kila kitu
Kwako wewe kutoka moyoni mwako, hii ni zawadi kutoka kwa Mungu ?
Hizi ni theory... hayajakukutaHebu jaribu kupata picha ya wanandoa waliokaa pamoja kwa zaidi ya miaka kumi bila ya kupata mtoto hata huyo kilema ama kiziwi unayesema.
Mtoto Ni mtoto tu Tena Ni baraka kubwa Sana kutoka kwa Mungu.Haijalishi huyo mtoto Ana mapungufu kiasi gani ila wanandoa wanatakiwa kumshukuru Sana Mungu kea kuwajalia mtoto.
Kumbuka Mungu akikupa kilema anakupa na mwendo.
Kwanini umeleta mada hii? Utaacha watu wakufuru bure!!Wewe hapo unaesoma uzi huu ukipata mtoto ama tayari unae :
- haoni na hasikii
- hajitambui
- utindio wa ubongo
- ugonjwa wa kumfanya ahudumiwe kila kitu
Kwako wewe kutoka moyoni mwako, hii ni zawadi kutoka kwa Mungu ?