Bunge la marekani lilipiga kura kwa ushindi mkubwa kufuta katazo la kuiuzia Israel Silaha lakini Biden kawa jeuri kalazimisha katazo, Biden ana presha kubwa sana ya kutafuta sifa kwa nguvu kwa siku 60 alizobakiza white house, Kafanya hayo ili ajisifie kusimahisha vita kwa siku 60, Baada ya hapo Trump akiingia atafuta hilo katazo.
Nawaona Hezbollah wanashangilia hii cease fire, Kwa hizi facts utawaona ni matahira:
Uongozi mzima wa juu wa Hezbollah ulisambaratishwa, ni aibu kubwa sana leadership kuwa vulnerable kiasi hiki, labda kama hujui maana ya uongozi
View attachment 3164352
Shambulio la Pagers - Hili shambulizi la mwaka, Ni mchanganyiko wa Supply chain attack na Cyber attack, Hezbollah 1,200 waliobeba pagers walifumuliwa viuno na vilivyomo ndani ya mifuko
View attachment 3164357
Israel imeweza kuidhoofisha ngome kuu ya Hezbollah - Lebanon ya kusini ilikuwa ngome kuu ya Hezbollah, Kwa mara ya kwanza kwa kipindi kirefu, Jeshi la Lebanon limediriki kwenda kulichukua eneo hili, hapo kabla jeshi la lebanon walikuwa kama waangalizi wa nyumba lakini muda huu wanarudi kuwa wamiliki wa nyumba, Jeshi la Lebanon halikuwa na nguvu yoyote mbele ya Hezbollah, walikuwepo Lebanon ya kusini lakini kwa uchache na walitii masharti ya kutowaingilia Hezbollah, Baada ya Israel kuidhoofisha ngome hio, jeshi la lebanon wameenda kuyachukua maeneo hayo na kuwadhoofisha zaidi Hezbollah.
View attachment 3164364