Tuweka mihemko pembeni, Hezbollah kapigwa kachakaa, pona yao ni Biden kuinyima Israel silaha kulazimisha cease fire

Lakini mmoja ameumia sana. Na aliyeumia sana amejitangaza kubwa ndiye mshindi.
 
Ni kweli mkuu ila bado mashambulizi mengi ya hizbolla yamekua Kila uchwao ,hali hii imeweka mashaka juu ya miundo mbinu hiyo kushambuliwa na kudhibitiwa kama inavyotakiwa
Hezbollah kwa sasa wanategemea zaidi mashambulizi ya kujificha kwa siri, leo wanajificha mlimani kesho kwenye bonde, hawana ubabe wa kuwa na ngome ya kudumu
 
Kwa mara ya kwanza kwa kipindi kirefu jeshi la Lebanon limeenda kusimamia Lebanon ya kusini na kuwazuia Hezbollah, ni baada ya Israel kkufanya yake
Mkuu inaonekana una uwelewa mdogo kuhusu mgogoro huu.
Wana jeshi wa Lebanon wapo kusini mwa nchi hiyo miaka yote ,waliondolewa baada ya vita kati ya Israel na Hizbullah kuanza na wamerudi baada ya vita kusitishwa.
 
FYI
Shambulio la vifaa vya mawasiliano maandalizi yake yalipangwa Miaka 15.

Israel sio CCM hawana Mwijaku wao wanajali maslahi yao tu... Na sasa hivi wametoa Onyo kwa Assad
 
Mkuu inaonekana una uwelewa mdogo kuhusu mgogoro huu.
Wana jeshi wa Lebanon wapo kusini mwa nchi hiyo miaka yote ,waliondolewa baada ya vita kati ya Israel na Hizbullah kuanza na wamerudi baada ya vita kusitishwa.

Kiufupi, hapo kabla jeshi la lebano walikuwa kama waangalizi wa nyumba, muda huu wanarudi kuwa wamiliki wa nyumba

Lebanon ya kusini ilikuwa ngome ya Hezbollah, Jeshi la Lebanon halikuwa na nguvu yoyote mbele ya Hezbollah, walikuwepo lakini kwa uchache na walifuata masharti ya kutowaingilia Hezbollah.

Baada ya Israel kuidhoofisha Hezbollah, jeshi la lebanon wameenda kuyachukua maeneo hayo na kuwadhoofisha zaidi Hezbollah.
 
Kwani yeye hawezi kutengeneza zake?
 
Kwani yeye hawezi kutengeneza zake?
Israel hawana madini wala eneo la kuwezesha kutengeneza silaha kubwa

Walichonacho ni technology ya kumodify silaha, uchumi mkubwa (dola bilioni 500+) wa kuweza kununua silaha za gharama na Mshirika mwenye nguvu kijeshi anaeweza kutengeneza silaha nyingi
 

 
Hezbollah kwa sasa wanategemea zaidi mashambulizi ya kujificha kwa siri, leo wanajificha mlimani kesho kwenye bonde, hawana ubabe wa kuwa na ngome ya kudumu
Kwamba mwanzo hawakua wakijificha si mlikua mnatwambia kwamba wanajificha kwa raia au ilikua uongo
 
FYI
Shambulio la vifaa vya mawasiliano maandalizi yake yalipangwa Miaka 15.

Israel sio CCM hawana Mwijaku wao wanajali maslahi yao tu... Na sasa hivi wametoa Onyo kwa Assad
Israhell kwa maonyo hawajambo walisema wataifuta hamas kiko wapi hizbullah kiko wapi watarejelea North israhell kiko wapi
 

Biden hafanyi chochote kisicho na masilahi.na Israel.

Ni kama mwaka 2006, baada Israel kutembezewa kichapo ikaiomba Marekani iitishe ceasefire kupitia UN Security coincil.
 
Watu wanarusha mamia ya makombora na drone kila siku alafu unasema hawana ngome mkuu uko sawa kweli?
wanarushia misituni kwa kujificha na kuhama hama


Your browser is not able to display this video.
 
Bosi nimekupigia hesabu umezielewa lakini? Msaada wa Usa kwa Israel total ni $310B usd hao ni Usa tu toa Ulaya na Nchi nyengine washirika kama Australia.

Na kuna Makampuni kibao yapo Israel Kisiasa, mfano Mzuri ni intel, Division yao ya Israel ni jipu kila siku ina ingiza hasara na kubebwa mpaka sasa wanakaribia kufilisika ndio wameipiga chini.

Hapo Israel wakristo waarabu ni more educated kushinda kundi lolote lile including jews, wana Elimu na Vumbuzi kibao ila mnapigwa kamba na kudanganyana tu humu.
 
Huu mgogoro huujui kijana kajifunze upya
 

Sasa hivi sio hawakuwepo ila walikuwepo kama waangalizi?
Mkuu mbona unaongea kwa mujibu wa hisia zako na sio fact?
Miezi miwili ya vita Israel ilifanikiwa kudhibiti eneo lenye ukubwa wa km 7 tu za mraba ambao ukubwa wake haufiki hata kitongoji kimoja.

Sasa kama Hizbullah alikuwa wamesha ame malizwa mbona zaidi ya miezi 2 majeshi ya Israel yalishindwa kupenya kwenye ngome za Hizbullah mpaka wamekuja kuondoka kwa makubaliano?

Hizbullah haijaondoka kusini mwa Lebanon bali wameunda msitari wa eneo ambalo halitakuwa na mapigano na shughuli za kijeshi kwa pande zote mbili.
 
Kwa mara ya kwanza kwa kipindi kirefu jeshi la Lebanon limeenda kusimamia Lebanon ya kusini na kuwazuia Hezbollah, ni baada ya Israel kkufanya yake
Umejitutumua huu ndio ushahidi? Jeshi gani la lebanon lipo Kusini, lipo stationed wapi na lumewadhibiti vipi Hezbollah?

Na kama Jeshi lumewadhibiti Hezbollah kwanini IDF wameshindwa kuteka hata Choo tu Huko Lebanon miezi miwili?
 
Subili waje kubisha
 
Makampuni ya Tech yanafungua ofisi za ubunifu na uboreshaji wa bidhaa Israel kwasababu Israel wamejikita sana kwenye mambo ya Science hasa kwenye vumbuzi na uboreshaji wa Teknolojia za computer,

makumi na mamia ya mabilioni ya dola huhitajikakufungua ofisi hizi, kama nchi nyingine zinategemea mafuta basi Israel wanategemea elimu ya science kujichotea pesa

Nje ya makampuni ya marekani nakuwekea hapa nchi zingine

Wakorea wameweka ofisi ya Samsung

Wachina wameweka ofisi ya Huawei

Wajapan wameweka ofisi ya Sony na Fujitsu

Wajerumani wameweka ofisi ya Siemens

Finland wameweka ofisi ya Nokia

Sweeden wameweka ofisi ya Erricson

Wadachi wameweka ofisi ya Phillips
 
Israel ameamua kusitisha vita hii sio tu kwa sababu ya silaha, ila analaumiwa mno, na wanajeshi wake wamemwaga damu mno kiasi kwamba wanahitaji kujipanga upya. kuna wanajeshi wengi wamejiua na wengine wapo psychiatric kwa damu. damu ya mwanadamu ni damu tu hata kama ni ya gaidi. pia, wamesema wanataka kujipanga na kitishocha Iran. kwa welevu wanajua kuwa wanasubiri waone mwelekeo wa Trump (ambaye binti yake amesilimu kuwa myahudi) atakuwa na mlengo gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…