Tuweka mihemko pembeni, Hezbollah kapigwa kachakaa, pona yao ni Biden kuinyima Israel silaha kulazimisha cease fire

Netanyahu: I hear the claim that we cannot continue the war. I remind you that this is exactly what I was told during the ceasefire in Gaza and we are back at war, in a big way. We will respond strongly to any violation by Hezbollah
 
Unaongea nini we pumbavu
 
Weka ushahidi wa hii sentensi yako kuwa eti
"wakristo waarabu ni more educated kushinda kundi lolote lile including jews, wana Elimu na Vumbuzi kibao"
 
Weka ushahidi wa hii sentensi yako kuwa eti
"wakristo waarabu ni more educated kushinda kundi lolote lile including jews, wana Elimu na Vumbuzi kibao"
Nime attach pdf hapo, yenye Matokeo na graduates wa Israel iki cover religious group zote jews, Christians, Muslims na Druze. Soma.
 

Attachments

Kwahiyo wewe unayajua malengo ya Israel dhidi ya Hezbollah??
 
Mtu katoa maelezo ya kina na Hoja za msingi ulitakiwa umpinge kwa Hoja Bwashee.
 
Mbona umeeleza mwenyewe Kwa kuwa USA kainyima Israel silaha kwani alizitunza huko?na za kwake zimeenda wapi?
 
you dont know nothing...
 
Nime attach pdf hapo, yenye Matokeo na graduates wa Israel iki cover religious group zote jews, Christians, Muslims na Druze. Soma.
Huu utafiti ulioleta ni wa mwaka 2014, soma hapo chini utafiti wa miaka miwili baadaye tena toka kwenye credible institution hii ni kuonyesha utafiti ulioleta una walakini mkubwa tena sana na vilevile angalia dini yako takwimu zake.
Religion and Education Around the World
 
Sipati picha West isingempa support Israel sijui angekuwa katika hali gani
 
Comprehension ni janga la Taifa, Hebu Soma huo utafiti wako una mahusiano gani na tunachoongea hapa? Utafiti wako unaonesha dini Duniani na elimu zao na sio Wakristo wa Palestina,

Hakuna Mtu anaekataa Jews wana Elimu kushinda Wakristo wa Sub Sahara Africa, ama Hindu wa India ama Wakristo wa Ufilipino, hapo juu tunaongelea Specific Wakristo waarabu ambao wanapatikana Israel.

Data nilizokupa zinatoka Wizara ya Elimu ya Israel wenyewe inayosimamiwa na jews sio zangu mimi.

Kama Jews wenyewe wanakiri Wapalestina wakristo wana elimu kushinda wao wewe mwenzangu na mimi utahangaika sana sababu hutapata Source yoyote hata ya Vichochoroni itakayokusaidia.
 
We kweli una shida kwenye kufikiri kwako huo ni utafiti kafanya mtu mmoja na tena basi summary yake haina hata takwimu imejaa generalization tupu nimekuletea utafiti wa taasisi ya kimataifa tena credible utafiti wako ulioleta umeshindwa hata kuonyesha hizo vumbuzi unazodai hao christian arabs wamefanya ni zipi. Halafu hivi umeelewa hata kwa nini huo utafiti ulioleta ulifanyika? Motive behind unaijua?
Ulicholeta hakina correlation yoyote na uhalisia uliopo na uliothibitishwa kitafiti ila kwa sababu una upande unaousimamia kwa mujibu wa imani yako basi always utaleta article za kuokoteza ili kuthibitisha kile unachoamini.
 
Boss tunaongelea Christian Israel Arabs nimekuketea data Za serikali ya Israel wewe unaleta data za wakristo wa Dunia nzima huoni data zako hazina maana tunachoongelea? Data za Mkristo wa Sub Sahara ama Mkristo wa Marekani zinahusiana nini na Mkristo wa Palestina ama Israel? Ndio maana nakuambia comprehension ni janga la Taifa? Unakosea kitu na hata hujui kama umekosa, hao pewpew wenyewe wangeona comment yako wangeshangaa unavyowajumuisha kwenye ujinga wako.

Hawa Wapalestina ambao wapo kwenye 2% ya researchers Duniani wapo wa kutosha tu na kuna wakristo wengi tu

Kuna university unakuta zina researcher hadi 17 kwenye 2%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…