Tuweka ushabiki pembeni: Staa gani anajua kuvaa na kupendeza hapa Bongo?

Tuweka ushabiki pembeni: Staa gani anajua kuvaa na kupendeza hapa Bongo?

Kama hawavuti ganja na wanashabikia ccm hawawezi pendeza.
 
Diamond anavaa maronyaronya tu siku hizi kama faly ipupa ungemtoa hapo ili turndelee na mada vizuri.
 
Kwangu ni Kamikaze japo sijapenda picha yake ya mwisho.
 
Hapa naona umechanganya.
Kuna wanaume na wengine hawaeleki.
Kwa wanaume ni Kamikaze, ali kiba.
Hao wengine sijawaelewa kuanzia mavazi, pozi zao yaani kwangu mie hawajakaa kiume [emoji16] japo Jux anaongoza.

Nami naunga mkono hoja ! Kamikaze na jukusi
 
Sintaamini mpaka nione picha ya Babu seya kwenye ORODHA yako
 
Ao wanavaa midosho hawapendezi hata kidogo.
Angalieni Dp yangu hiyo suti nimenunua 700$
Sasa Mtu anavaa kiatu Cha 20k km diamond na kiba +kuedit picha then mnamsifu.
Mjasiri haachi asili..HAYA LAND
 
Hamna anaevaa zaidi ya Kamikaze hapo, jamaa anajua

Juma jux yuko overrated
 
Back
Top Bottom