cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Sasa kamikaze ana tofauti gan na wengine aunt? [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapa naona umechanganya.
Kuna wanaume na wengine hawaeleki.
Kwa wanaume ni Kamikaze, ali kiba.
Hao wengine sijawaelewa kuanzia mavazi, pozi zao yaani kwangu mie hawajakaa kiume [emoji16] japo Jux anaongoza.
Nimecheka mnooo.