cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 May 6, 2022 #41 amu said: Hapa naona umechanganya. Kuna wanaume na wengine hawaeleki. Kwa wanaume ni Kamikaze, ali kiba. Hao wengine sijawaelewa kuanzia mavazi, pozi zao yaani kwangu mie hawajakaa kiume [emoji16] japo Jux anaongoza. Click to expand... Sasa kamikaze ana tofauti gan na wengine aunt? [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka mnooo.
amu said: Hapa naona umechanganya. Kuna wanaume na wengine hawaeleki. Kwa wanaume ni Kamikaze, ali kiba. Hao wengine sijawaelewa kuanzia mavazi, pozi zao yaani kwangu mie hawajakaa kiume [emoji16] japo Jux anaongoza. Click to expand... Sasa kamikaze ana tofauti gan na wengine aunt? [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka mnooo.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 May 6, 2022 #42 Jux African boi.
amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,132 Reaction score 31,149 May 6, 2022 #43 cocastic said: Sasa kamikaze ana tofauti gan na wengine aunt? [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka mnooo. Click to expand... Weeee kamikaze mwanaume aunt. Ona mavazi yake na pozi zake.
cocastic said: Sasa kamikaze ana tofauti gan na wengine aunt? [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka mnooo. Click to expand... Weeee kamikaze mwanaume aunt. Ona mavazi yake na pozi zake.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 May 6, 2022 #44 amu said: Weeee kamikaze mwanaume aunt. Ona mavazi yake na pozi zake. Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aunt usitake nicheke hapa mie. Ni mwanaume ndyo, ila ana tofaut gan hao wengine?
amu said: Weeee kamikaze mwanaume aunt. Ona mavazi yake na pozi zake. Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aunt usitake nicheke hapa mie. Ni mwanaume ndyo, ila ana tofaut gan hao wengine?