Bado unauliza mantiki tena wakati nimekuelezea karibia mara 100?!Mantiki ya kwenye nini?
Unajua semantiki ya Lugha?
Bado unauliza mantiki tena wakati nimekuelezea karibia mara 100?!
Hii mada yako ni potofu, usijaribu kuondoa maana za maneno kwa kulazimisha tuamini vile unavyotafsiri wewe.
Hata hapa hauko sahihi, kama mambo yakiwa hivi unavyoyapeleka, basi lugha haitakuwa na maana.
Wewe ukisema neno "single" umelitafsiri kikwenu, nami nikalitafsiri kikwetu, na mwingine akalitafsiri kikwao, hapo itakuwa kitu gani kama sio vurugu?
Ndio maana nimekuona ukikwepa kwepa toka asubuhi, na hata mfano niliokupa kuonesha maana yako ya neno "single" kulihusianisha na hali ya uchumi sio sahihi, umeukwepa ule mfano kama huuoni mpaka sasa, ilimradi uendelee kutuzunguka tu...
Nimekupa like, akili nyingi sanaTumeanza kutawaliwa Wapi?
Huko Ulaya àmbapo Haki za Wanawake zimeanza kupiganiwa Karibu Miaka Mia Mbili iliyopita bado haijawezekana, wewe unachanganywa na huku kujitegemea Kwa Wanawake ndîo unaita Wanawake kuwatawala Wanaume.
Lengo la movement zote Kúpigania Haki za makundi maalumu kama Wanawake na walemavu ni Kutengeneza usawa na fursa za Haki katika kujitegemea ili Ûtu WA kîla binadamu Bila kujali rangi ya Mtu, jinsia na maumbile.
Mwanamke kujitegemea haina mana maana ndîo anamtawala Mwanaume.
Mwanaume atabaki kuwa Mwanaume Siku zote.
Watu wengi walienda Shule lakini hakuwapata uelewa na Elimu Sahihi ya kujua dhana ya Haki Sawa, Haki za binadamu na masuala ya Usawa ya kijinsia
Nimekupa like, akili nyingi sana
Nikisoma kitabu cha Mwanzo mwanamke alipodanganywa na nyoka atakua kama Mungu, akala tunda peke yake Adam akiwa hayupo ili awe juu ya Adam na sawa na Mungu. Naiona akili ya Hawa katka comment yakoNikuulize kiufupi tu, heshima aliyopewa mwanaume wa zamani bado anapewa heshima hiyo miaka hii anzio 2010,
Mamlaka yenu tunazidi kuyaona ya kawaida sana hamuungurumi wala kututisha tena, tumewakanyaga vilivyo na saiv tunawapanda vichwani bado kuwakalia ili tuwatawale vizuri
Bado unauliza mantiki tena wakati nimekuelezea karibia mara 100?!
Hii mada yako ni potofu, usijaribu kuondoa maana za maneno kwa kulazimisha tuamini vile unavyotafsiri wewe.
Kwani unadhani nitakataa sasa, yani kupewa akili ya Hawa ni bonge moja ya sifa umenijaza hapo, mtu aliyefanya tupewe laana ya kifo, sio wa mchezo mchezo ujueNikisoma kitabu cha Mwanzo mwanamke alipodanganywa na nyoka atakua kama Mungu, akala tunda peke yake Adam akiwa hayupo ili awe juu ya Adam na sawa na Mungu. Naiona akili ya Hawa katka comment yako
🤣🤣🤣🤣🤣🥴Kwahiyo ulikuwa unaililia kabisa Kwa raha zako huku unamwambia jamaa aongeze Kasi ya kupiga makasia😜
Barikiwa sana 🙏🙏🙏By the way, mimi naendelea kuwatetea tu kwamba huenda Mwanaume aliweka then akakutelekeza bila kutegemea ukajikuta Singo Mama
Comment yako imenidindisha mkuu sijui kwanini, anyway nakupa likeKwani unadhani nitakataa sasa, yani kupewa akili ya Hawa ni bonge moja ya sifa umenijaza hapo, mtu aliyefanya tupewe laana ya kifo, sio wa mchezo mchezo ujue
😅😅😅😅😅braza eh eh uko vizuri, comment kavu hivyo kitu ishainuka?? 🙌🙌🙌Comment yako imenidindisha mkuu sijui kwanini, anyway nakupa like
Hapa ni hatari 🔥. I mean mnara unasoma 4G kwahiyo comment yako tu😅😅😅😅😅braza eh eh uko vizuri, comment kavu hivyo kitu ishainuka?? 🙌🙌🙌
Amen Mjukuu 🙏🙏🙏Barikiwa sana 🙏🙏🙏
😅😅🏃🏃🏃🤣🤣🤣🤣🤣🥴
Na wale wanawake wanaolea watoto wao wenyewe na kuwatunza Baba zao ambao hawana mbele wala nyuma kama Binti Kimoso anavyokulea wewe na mtoto wenu Prince Mtibeli wanaitwaje?
😃😃😃 unamfuga dogo anatutukana huku JF alafu anasema yeye ni katibu wa timu kataa ndoa. Sasa kwanini alikuzalisha?Unashobo
😃😃😃 unamfuga dogo anatutukana huku JF alafu anasema yeye ni katibu wa timu kataa ndoa. Sasa kwanini alikuzalisha?
Sisi ukoo wa akina Kimoso hatuna jambo dogo, lazima akuoe asikichezee na kukuzalisha huku anasema yeye ni kataa ndoa alafu kila siku anawananga single mother humu JF wakati naye anataka uwe Single Mother.😀😃😄😁
Mtibeli ataniloga.Njoo unioe wewe
Mtibeli ataniloga.