Tuwekane Sawa; Single mother NI Yule asiyeweza kuhudumia Watoto wake na Anahitaji kutunziwa Watoto na Mwanaume Mwingine àmbaye hakumzalisha

Tuwekane Sawa; Single mother NI Yule asiyeweza kuhudumia Watoto wake na Anahitaji kutunziwa Watoto na Mwanaume Mwingine àmbaye hakumzalisha

Bado unauliza mantiki tena wakati nimekuelezea karibia mara 100?!

Hii mada yako ni potofu, usijaribu kuondoa maana za maneno kwa kulazimisha tuamini vile unavyotafsiri wewe.

Ebu tupe mantiki ya Kifaru mnyama na Kifaru kifaa cha kivita kwa uelewa wako?

Ukisoma maandiko yangu lazima uwe mzuri kwenye falsafa, Fasihi, na isimu.
Ukiwa umepungua hapo lazima upate utata.

Ndio maana sikulaumu.

Nimekuuliza,
Nimekuuliza unafikiri kwa NINI single mothers wanasemwa vibaya wakati single fathers hawasemwi ILHALI wote wapo kundi Moja?

Nikakuambia, unafikiri ni kwa nini single mothers wasio na uwezo hujihisi vibaya wakisemwa tofauti na Single mothers wenye vipato ambao wanaona hawahusiki na hizo kejeli?
 
Hata hapa hauko sahihi, kama mambo yakiwa hivi unavyoyapeleka, basi lugha haitakuwa na maana.

Wewe ukisema neno "single" umelitafsiri kikwenu, nami nikalitafsiri kikwetu, na mwingine akalitafsiri kikwao, hapo itakuwa kitu gani kama sio vurugu?

Ndio maana nimekuona ukikwepa kwepa toka asubuhi, na hata mfano niliokupa kuonesha maana yako ya neno "single" kulihusianisha na hali ya uchumi sio sahihi, umeukwepa ule mfano kama huuoni mpaka sasa, ilimradi uendelee kutuzunguka tu...

Unauelewa na mambo ya Isimu ya Lugha?
 
Tumeanza kutawaliwa Wapi?

Huko Ulaya àmbapo Haki za Wanawake zimeanza kupiganiwa Karibu Miaka Mia Mbili iliyopita bado haijawezekana, wewe unachanganywa na huku kujitegemea Kwa Wanawake ndîo unaita Wanawake kuwatawala Wanaume.

Lengo la movement zote Kúpigania Haki za makundi maalumu kama Wanawake na walemavu ni Kutengeneza usawa na fursa za Haki katika kujitegemea ili Ûtu WA kîla binadamu Bila kujali rangi ya Mtu, jinsia na maumbile.

Mwanamke kujitegemea haina mana maana ndîo anamtawala Mwanaume.

Mwanaume atabaki kuwa Mwanaume Siku zote.

Watu wengi walienda Shule lakini hakuwapata uelewa na Elimu Sahihi ya kujua dhana ya Haki Sawa, Haki za binadamu na masuala ya Usawa ya kijinsia
Nimekupa like, akili nyingi sana
 
Nikuulize kiufupi tu, heshima aliyopewa mwanaume wa zamani bado anapewa heshima hiyo miaka hii anzio 2010,

Mamlaka yenu tunazidi kuyaona ya kawaida sana hamuungurumi wala kututisha tena, tumewakanyaga vilivyo na saiv tunawapanda vichwani bado kuwakalia ili tuwatawale vizuri
Nikisoma kitabu cha Mwanzo mwanamke alipodanganywa na nyoka atakua kama Mungu, akala tunda peke yake Adam akiwa hayupo ili awe juu ya Adam na sawa na Mungu. Naiona akili ya Hawa katka comment yako
 
Bado unauliza mantiki tena wakati nimekuelezea karibia mara 100?!

Hii mada yako ni potofu, usijaribu kuondoa maana za maneno kwa kulazimisha tuamini vile unavyotafsiri wewe.

Mjane ni mwanamke aliyefiwa na Mumewe na asiyejiweza kujihudumia. Mara nyingi wajane huwa kuanzia miaka 60.
Tena asiwe na watoto wa kumsaidia. Huyo ni mjane.

Lakini mwanamke kijana mwenye miaka 20- 40 hawezi kuitwa mjane hata kama amefiwa na mumewe.
 
Nikisoma kitabu cha Mwanzo mwanamke alipodanganywa na nyoka atakua kama Mungu, akala tunda peke yake Adam akiwa hayupo ili awe juu ya Adam na sawa na Mungu. Naiona akili ya Hawa katka comment yako
Kwani unadhani nitakataa sasa, yani kupewa akili ya Hawa ni bonge moja ya sifa umenijaza hapo, mtu aliyefanya tupewe laana ya kifo, sio wa mchezo mchezo ujue
 
😃😃😃 unamfuga dogo anatutukana huku JF alafu anasema yeye ni katibu wa timu kataa ndoa. Sasa kwanini alikuzalisha?

Sisi ukoo wa akina Kimoso hatuna jambo dogo, lazima akuoe asikichezee na kukuzalisha huku anasema yeye ni kataa ndoa alafu kila siku anawananga single mother humu JF wakati naye anataka uwe Single Mother.😀😃😄😁
 
Njoo unioe wewe
 
Back
Top Bottom