Tuwekane Sawa; Single mother NI Yule asiyeweza kuhudumia Watoto wake na Anahitaji kutunziwa Watoto na Mwanaume Mwingine àmbaye hakumzalisha

Nashauri tuwapumzishe hao Single Mothers, Kuna wengine walipata mimba Kwa kubakwa na wakaishia kuwa single mother.

Wengine ilitokea Waume zao wamefungwa vifungo vya muda mrefu magerezani, hivyo kubaki na Jukumu la kulea watoto peke yao.
Kabisa babu ila kuna sie singo baba tunasahaulika mkuu😁
 
Wengine walijikuta tu wana mimba kama Bikra Mariam🥹
Hahaha........ tafadhali Mjukuu, asitokee Mwanaume akakwambia eti muende nyumbani kwake akakuoneshe sufuria ya plastiki tu 😜
 
Nashauri tuwapumzishe hao Single Mothers, Kuna wengine walipata mimba Kwa kubakwa na wakaishia kuwa single mother.

Wengine ilitokea Waume zao wamefungwa vifungo vya muda mrefu magerezani, hivyo kubaki na Jukumu la kulea watoto peke yao.

Kama ukisoma Kwa kina utagundua kuwa namna Bora ya kuwapumzisha single mother wasisemwe nimependekeza wafanye Kazi wajitegemee Hilo jina litakufa automatically
 
A single mother... a mother who has a dependent child or dependent children and who is widowed, divorced, or unmarried.
 
Wanaoguswa na changamoto za wanawake kuliko wenye jinsia yao ni wanaume, hongereni kwa muda wenu na mapenzi yenu, mmejipa majukumu ya kushauri kuadhibu?kuhudumia na kuwa wasemaji wa wanawake, ni kama wanaume hamna changamoto zozote kabisa
 
Kama ukisoma Kwa kina utagundua kuwa namna Bora ya kuwapumzisha single mother wasisemwe nimependekeza wafanye Kazi wajitegemee Hilo jina litakufa automatically
Ni kweli lakini suala la kulea watoto wawili ama watatu sio la mchezo Mkuu
 
Siyo kweli, je wale wanao mudu kuwalea watoto wao utawaitaje
Kwani Sisi Wanaume tunaolea Watoto pekeetu tunaitwaje?
Unafikiri ni Kwa nini kwenye jamii Wanaume single Father siô Tusi Wala Kejeli ila Kwa Wanawake NI Tusi au Kejeli au Jambo la aibu?
 
Wanaoguswa na changamoto za wanawake kuliko wenye jinsia yao ni wanaume, hongereni kwa muda wenu na mapenzi yenu, mmejipa majukumu ya kushauri kuadhibu?kuhudumia na kuwa wasemaji wa wanawake, ni kama wanaume hamna changamoto zozote kabisa
Tuna changamoto sna tu ,ila tunawapenda zaidi kuliko mnavyofikiri Kapeace
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…